Search results

  1. Peter adazo

    NACTE Wafungua udahili Rasmi kwa intake ya mwezi wa Machi na Aprili 2017

    Ni kwa wale wa intake ya mwezi wa 3 na 4 kwa maelezo said ingia www.nacte.go.tz ====== TAARIFA KWA UMMA KUFUNGULIWA KWA MFUMO WA PAMOJA WA UDAHILI KWA KIPINDI CHA MACHI/APRILI, 2017 KWA MWAKA WA MASOMO 2016/2017 Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE), linapenda kuutangazia Umma na...
  2. Peter adazo

    Msaada: Nme apply diploma Udom

    Assalam aleykum.. wana JF nlkua naomba mnijulshe selection hutoka kW mda Gan kW cc wa diploma???
  3. Peter adazo

    Mwenye kukijua Ndanda Nursing, Masasi

    Nimechaguliwa Ndanda Nursing diploma. Mwenye kukijua chuo hiki anisaidie na je mazingira yake ni rafiki kwa mwanafunzi?
  4. Peter adazo

    Naomba mnifahamishe tofauti ya kozi hizi mbili

    Ipi tofauti kati ya Diploma in Nursing(In service) na Diploma in Nursing na je kazi ya nursing ni kufunga vidonda tu? Naomba mnifahamishe ndugu zangu.
Back
Top Bottom