Naomba mnifahamishe tofauti ya kozi hizi mbili

Peter adazo

Member
Jun 10, 2016
57
12
Ipi tofauti kati ya Diploma in Nursing(In service) na Diploma in Nursing na je kazi ya nursing ni kufunga vidonda tu?

Naomba mnifahamishe ndugu zangu.
 
mmh naona watu wamegoma kukusaidia....mie ningekusaidia ila ndio hivyo sina ninalolijua pande hizo
 
In service wa makazin ambao Wana uzoef na kazi, ila KUHUSU kufunga vidonda tu not true, nurse ndo mtu anaekaa sana na wagonjwa na kujifunza meng, ni ngazi moja ya kusomea kikubwa ZAID na kuwa daktar mzoef ever, so hiy concept ya vidonda put it aside
 
SAsante mkuu..nmekuelewa mnoo
 
Ipi tofauti kati ya Diploma in Nursing(In service) na Diploma in Nursing na je kazi ya nursing ni kufunga vidonda tu?

Naomba mnifahamishe ndugu zangu.
Kama ni me usiende huko kama ni ke sawa utajuta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom