Search results

  1. A

    Vurugu Mwanza: Wamachinga Vs. Jiji - Damu yamwagika

    Kama kisa cha mapambano na mauaji hayo ni uhamisho kwenda maeneo yasmi ya wao nina wasiwasi Maandalizi ya kuwahamisha hayakufanyika vizuri kwa maana ya kuwa huenda wamachinga walishtukizwa au hawakushirikishwa. Vyovyote ilivyo kuwa mauaji hayo hayakustahili, uhai una thamani zaidi ya hayo...
  2. A

    Pongezi na ushauri wangu kwa mhe. Rais jakaya kikwete.

    Nimekuwa nikifuatilia ziara za Rais wangu Mhe. Jakaya Kikwete katika wizara mbalimbali. Kwa dhati nampongeza kwa kufanya ziara hizo kwa kuwa si kuwa zinawakumbusha wajibu wao watendaji wa wizara hizo lakini pia zinawaweka katika mazingira ya kufanya kazi kwa ufanisi hasa wakikumbuka kwamba kuna...
  3. A

    Kikwete Hana Mchezo!

    Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Big up JK
  4. A

    JK: Amkaba koo Waziri Ghasia

    Hongera Mhe. Rais Jk kwa hatua hiyo. Nakuomba sisitiza suala la nyongeza ya mishahara kwa watumishi kwani hali halisi unaijua na wasimamie hao uliowaagiza waongeze mishahara na wasijifanye wameongeza mishahara. kwa nyongeza ya mishahara ya watumishi si tu utawapunguzia makali ya maisha watumishi...
  5. A

    Uteuzi wa Bashe kuongoza kamati Maalum ya CCM ni Ushindi Mkubwa wa Mafisad ,Washerekea usiku kucha

    Originally Posted by Pdidy SIMJUI MMILIKI WA DOWANS, SIJUI KWA NINI TANZANIA NI MASKINI. BY JAKAYA KIKWETE. mi sijiui kwanini ni mtanzania@@@ '' The most important human endeavour is the striving for morality in our actions. Our balance and even our existence depend on it. Only morality...
  6. A

    Dr. Shein amesusia vikao vya cabinet, je wabunge wa Znz nao watasusia bunge la muungano?

    Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (ya mwaka 1977 iliyojumuisha marekebisho hadi mwaka 2005) Ibara ya 54(1) wajumbe wa baraza la mawaziri ni makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Rais wa zanzibar na Mawaziri wote chini ya uongozi wa Rais kama atakuwepo. Sijaona sehemu katika Katiba...
  7. A

    Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

    sioni tatizo mtu kuamini katika kikombe kimoja cha dawa kuwa kinaponya na akatumia muda wake kutafuta tiba hiyo. Vitu vingi hufanikiwa kwa imani. Tusiwakatishe tamaa wanaotafuta ufumbuzi wa matatizo yao ya afya.
  8. A

    Kiini macho cha Kamati ya January Makamba na Dowans

    Kwa ujumla hakuna kipya ninachokiona kwa Januari Makamba zaidi ya yeye kutaka kujinufaisha kwa kutanguliza maslahi yake kwa gharama za watanzania walalahoi. Chimbuko la Dowans ni nini kama si RichMond iliyoingizwa kwa kisingizio cha dharura ya tatizo la umeme ambapo kauli za kutotoa katika...
  9. A

    Waislamu Ikataeni CCM

    Asalam Aleikum. si nia yangu kupinga maoni yako, ila ninachona unapendekeza watu wachague kiongozi kwa kutumia viongozi wa vyama vya siasa vinavyoegemea kwenye uislam! Naona unakotupeleka ni kwenye udini ambao baadhi ya viongozi wamekuwa wakiuhubiri kwamba upo ilhali mwananchi wa kawaida...
Back
Top Bottom