Search results

  1. M

    UTABIRI: Ndugai kujiuzulu Uspika na Wabunge 19 bandia kung'oka

    Kumbuka hii Serikali ya wakina mama
  2. M

    Hayati Magufuli ni shujaa anayepigana na walio hai

    Wanaomchafua JPM hawafai kuitwa watanzania
  3. M

    Tundu Lissu: CHADEMA haina mamlaka kisheria kufungua kesi ICC kuhusiana na Uchaguzi 2020

    100% Tanzania hakuna kesi kama hizo. Inakuwa kesi kama waliodhulika moja kwa moja kama Lissu ni wengi kwa mamia otherwise nchi zenye migogora muda mrefu viongoz wake wangekuwa walishafungwa siku nyingi i.e Ivory cost, DRC, Sudan, Ethiopia kwa sasa n.k
  4. M

    Waliochapwa na DC Arusha na kulazimishwa kulipa fedha bila kufikishwa mahakamani waombe msaada wa kisheria kumshtaki DC

    Hapo hakuna kesi. Wakili au mwanasheria yeyote atakayetia pua yake hapo ataishia kupoteza muda coz lazima kesi ya ngedere itupiliwe mbali tu
  5. M

    International Democratic Union yatoa maazimio kuhusu Tanzania

    Hivi nyie nyumbu kwanini wagumu hivi kujifunza? Hapa hakuna kitu hizi ni kelele za mkosaji na hazina madhara yoyote. Zitafifia na miaka 5 itaisha kwa kishindo kikubwa. Fuatilieni huko, EU na IMF watakavyomwaga pesa TZ bila kumsahau mchina aliyetoa ahadi kumalizia miradi yote mikubwa ikiwemo...
  6. M

    Tulipoongea walitusema sie wapigaji, leo wanafanya tulioyasema

    Kikundi chenu cha wenye akili kina wabunge wangapi bungeni? Tuanzie hapa kwanza....
  7. M

    Ukweli mchungu: CHADEMA inapoteza Tena hili la Viti maalum

    Yaani kwa hili unajiona una akiliiiiiiiii
  8. M

    Halima Mdee, Mwenyekiti wa BAWACHA aidha ajiuzulu au aondolewe haraka kabla hajaleta madhara kwa Chama

    Wanawaka 19 tena viongozi na wake wa viongozi wandamizi siyo wajinga kama unavyodhani tulia, yajayo yanafurahisha
  9. M

    Halima Mdee, Mwenyekiti wa BAWACHA aidha ajiuzulu au aondolewe haraka kabla hajaleta madhara kwa Chama

    Umesema ukweli ila sidhani kama nyumbu watakuelewa
  10. M

    Watanzania mlichomfanyia Tundu Lissu ''Mungu'' anawaona!

    Ls ICC litakapobuma utaficha wapi uso wako? Nakuhakikishia hakuna kesi yenye mashiko, ICC wataitupilia mbali na JPM atakula bata hadi 2025. Pia uombe ccm wabadili mkakati wao wa kubadili katiba na kumuongezea muda wa kutawala.
  11. M

    Robert Amsterdam athibitisha kufungua mashitaka ya uhalifu dhidi ya binadamu kwa Tanzania ndani ya ICC jumatatu

    Watu wanaokufa Rwanda, Butundi, Congo DRC, Congo Brazavile, Sudan n.k ni wengi kuliko Tanzania na hakuna aliyefungwa na ICC
  12. M

    Uchaguzi 2020 Kwa uelewa wake, Lissu anaamini kabisa kuwa atakuwa Rais wa Tanzania

    Tunaombeni taarifa sahihi za mteule wenu wa Mungu aliko muda huu
  13. M

    Uchaguzi 2020 Kwa uelewa wake, Lissu anaamini kabisa kuwa atakuwa Rais wa Tanzania

    Kwa wote walilike hii, je, bado hii ni propaganda dhaifu?
  14. M

    Balozi wa USA nchini amtaka Rais Magufuli achukue hatua zaidi ya kuwaachia Mbowe na wenzake

    Pumbaf, mabeberu hawana ujanja wa kuiwekea vikwazo vya kiuchumi Tz coz wao wenyewe wanaitegemea Tz. Tukiwafusha wasiingie kwetu nani ataumia kama siyo wao.
  15. M

    Kwanini Watanzania hawatawaunga mkono wapinzani (CHADEMA& ACT-Wazalendo) kwenye mgomo wao na maandamano

    Kupiga kura mnapigia mtandaoni na ushindi mnapeana kuapishana mtandaoni. Sitashangaa na maandamano kuishia mtandaoni kama ya Mange. Hakuna atakayetoa pua nje.
  16. M

    Uchaguzi 2020 Bado sioni njia ya CCM kushinda huu uchaguzi. Kivyovyote vile, CCM imepoteza mpambano

    Wakati mnatapika upuuzi mtandaoni ni vema kukumbuka kwamba: 1. mpaka dakika hii CCM ina wabunge wanaosubiri kuapishwa 28 na madiwani zaidi ya 800 waliopita bila kupingwa. 2. Ccm ndicho chama pekee kati ya 15 kinachomiliki vifaa vyote vya uchaguzi vikiwemo vituo vyote na mfumo wote wa upigaji...
  17. M

    Uchaguzi 2020 Robert Amsterdam amuandikia barua Rais Magufuli siku 5 kabla ya Uchaguzi

    Tafuteni nchi ya kuishi baada ya tarehe 28. Raisi JPM
Back
Top Bottom