Search results

  1. MABANDA

    Kuanzisha kiwanda cha ngozi kanda ya ziwa kina tija?

    Ninaomba mawazo yenu kwa masuali yafuatayo . 1. Je mkoa gani kanda ya ziwa mzuli wa kuanzisha kiwanda cha ngozi za mifugo? 2. Je kama nikianzisha soko la malighafi zitokanazo na mifugo likoje kanda ya ziwa? 3. Je kuna taasisi za fedha...
  2. MABANDA

    Jinsi Katiba inavyoiumbua CHADEMA

    Kwa hapo sasa wanaotukana humu wataanza kupwaya maana walishazoea copy and paste za Tindu lisu ambapo ukimpeleka kwenye analysis anatoka ziro na anashindwa kutetea
  3. MABANDA

    Maandamano ya UKUTA ni kiini macho

    Swissme unaposema ukosefu wa Elimu wewe elimu yako unaifahamu vizuri? Nilidhani bonge la msomi unajua tu kutukana kumbe hakuna kitu
  4. MABANDA

    Taarifa ya Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe kuhusu madai ya NHC

    Mwaka juzi bungeni Mbowe alionekana mdaiwa sugu wa NSSF na akawa anakwepa kulipa mpaka ikazungumziwa bungeni, na akakimbilia kujitetea leo mdaiwa sugu wa NHC, Mimi naona ni vyema ulipe madeni ndio utuletee habari za ukuta.
  5. MABANDA

    Taarifa ya Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe kuhusu madai ya NHC

    Mmi navyojua tanzania anaeongoza kw Kukwepa kodi ni FREEMAN AIKAEL MBOWE, Bado TRA watakuja na list ya makampuni yaliyoingiza mizigo kutoka nje ya nchi wakiwa wamekwepa kodi.La mbowe limo...N hapo ndio mtagundua kuwa mbowe anajitahidi kuongea saana ili aachwe kwa sababu anadaiwa,Mbowe unatafuta...
  6. MABANDA

    Usahihi wa Taarifa ya Freeman Mbowe Kusafiri nje ya Nchi kabla ya Septemba Mosi

    CHADEMA MNATAKA KUFANYA UHAINI HAKUNA LINGINE TUMESHAWAJUA
  7. MABANDA

    Taarifa ya Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe kuhusu madai ya NHC

    Kama kweli ulikuwa unalipa kodi weka risitt hapa kwenye uzi,tujue wanakuonea.
  8. MABANDA

    Taarifa ya Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe kuhusu madai ya NHC

    Wewe Mbowe Lipa kodi usituletee maneno ,kulipa kodi sio Siasa,Hakuna atakaekuziba mdomo kama unadaiwa kodi. Ukilipa kodi hakuna atakaekugusa.
  9. MABANDA

    Meya Jiji la Arusha na viongozi wa CHADEMA Mkoa wa Kilimanjaro wamekamatwa na Polisi

    Hay maneno ulioyaandika hapa hayalingani na unachokifanya hapo kwenye Uzi
  10. MABANDA

    Meya Jiji la Arusha na viongozi wa CHADEMA Mkoa wa Kilimanjaro wamekamatwa na Polisi

    Mungi unasema hakuna haja ya kuishi na polisi uraiani unadhibitisha nini hapo?Na ni kwa nini unatoa maneno ya uchochezi Mungi
  11. MABANDA

    Usahihi wa Taarifa ya Freeman Mbowe Kusafiri nje ya Nchi kabla ya Septemba Mosi

    kam a kweli unasema ni uongo mwambie ajitokeze hadharani,maana watu huwa ni waongo sana
  12. MABANDA

    Rais umepotoshwa: Polisi hawawezi kushinda jeshi la watu 45 millioni

    Wewe muongo ,wewe Sio kada wa CCM ,Bado wewe ni pandikizi mbona tunakujua saana? Umeandika unaponda kama unaamini watanzania wako hivyo nenda kaungane nao wapinzani uandamanane.. Dont Cheat arround the bush
  13. MABANDA

    ARUSHA: Mwisho wa kutembea saa nne Usiku

    Acheni uongo na nackutukana hao Viongozi,Vijana hamuleti hoja maaana mmeishia na kauli za matusi matusi tu,KWELI MFA MAJI HAISHI KUTAPATAPA
  14. MABANDA

    Edward Lowassa ndani ya Mbeya vijijini Operation UKUTA

    Wanaccm waliopiga kura walikuwa million 8.6, jumala waliojiandikisha ni 8.9, Wanachama wa Ukawa waliopiga kura walikuwa million 5.7 waliojiandikisha jumla walikuwa Million 6 , Je hiyo asilimia sititini na mbili umeipata wapi? Acha kudanganya watanzania ndugu.
  15. MABANDA

    Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa Taifa, Rashid Othman astaafu, Nafasi yake yakaimiwa na George Madafa

    Tunampongeza kwa kustaafu salamaMungu ampe nguvu na heri kwenye mapumziko yake, Tunamuombea sana kwa mungu atakaepokea kijiti chake. Mungu ni mwema .
  16. MABANDA

    Tetesi: Si shwari, rais Magufuli kutangaza mazito August 31 siku moja kabla ya UKUTA

    AC HA KUWATISHA WATU WEWE BAK! Huna lolote zaidi ya kunyea ndoo...baada ya maneno yako machafu kumtukana Mheshimiwa Rais...
  17. MABANDA

    Magufuli baba, kaza kamba UKUTA ni mbinu ya mafisadi

    Kiukweli ukiwa na kiwanda kimoja cha mdomo jiandae kuwa maskini wa kutupwa. Kuna watu humu huwa wanaongea sana,wanajua kutukana kila aina ya matusi,wanajua kulalamika wanajua kumponda Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania,Kiukweli hawa tu viwanda vyao viko midomoni mwao. Hawatakaa waendelee...
  18. MABANDA

    Rais amteua Bw.Gabriel Fabian Daqarro kuwa mkuu wa wilaya ya Arusha

    Nampongeza Mheshimiwa Rais DR JPM kwa kumteua Bwana GABRIEL FABIAN DAQARO kuwa mkuu wa wilaya ya Arusha, huyo ni Jembe uliemteua, na ana Elimu ya kutosha ya utawala na science ya siasa, Sasa wana Arusha mtapata maendeleo zaidi ya hayo yaliyopo. Kwa pamoja tunakuombea kwa Mungu atusaidie. AMEN....
  19. MABANDA

    CHADEMA mmejitahidi sana, kama sio 2020 ipo siku mtaongoza nchi

    Za mwizi arobaini,Utakamatwa tu ukiwa unakula hapohapo nyumbani. Ni bora ongea nae akupangishie mtaani tena mbali kidogo na kwake.Singerpore napajua hakuna ajira ni nchi ndogo sana, ila kama kakutafutia waweza kupata ukipata hama kwake.
  20. MABANDA

    Hotuba ya Freeman Mbowe. Amuonya Vikali Rais Magufuli

    Cha ajabu nilikuwa naangalia location zenu wachangiaji mojowapo ya watu wanaotukana na watu wa Arusha na Moshi kwa nini inamaana nyie bado mna akili ya kuendeleza ukabila?Kuna mtu mmoja anajifanya mkali sana lakini hata kiganja cha tumbili hajai..looh pole sana
Back
Top Bottom