Search results

  1. Mtu mzito

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Tukijaaliwa mfungo mosi kutakuwa na shughuli za kufungua mikoba na mambo mengine na kutakuwa na halaiki kama siku ile na shughuli hii itajumuisha waganga mbali mbali, karibu. Kuhusu hili la wahusika kwenda mbele za haki bado haiondoi asili iliyopo na zaidi itawaandama. Ni vema wazee waliokuwa...
  2. Mtu mzito

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Habari Siku zote nimekuwa nikipokea maswali na kuyajibu bure bila kuhitaji chochote, muda mwengine inanibidi kuamka hata usiku mwingi au hata kufanya utafiti na kujishughulisha ilimradi nitoe majibu sahihi ili hata wanaojua fani hii wasinione napotosha. Leo nilikuwa nje ya mji kabisa vijijini...
  3. Mtu mzito

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Naam kuoga na sabuni na kujitakasa na kisha kutumia maji yenye dawa ni sahihi na ndiyo utaratibu, hivyo haina maana kwamba sabuni isitumike kabisa mwilini.
  4. Mtu mzito

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Naam pia nakushukuru sana wewe pamoja na wajuvi wengine kwa namna tulivyoshirikiana katika kutoa fafanuzi.
  5. Mtu mzito

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Yanafanyika hayo na makubwa zaidi katika falme za kiroho na ni robo au theluthi ya yanayoulizwa hapa. Napatikana muda wote inategemea na mahitaji yako ndiyo yataamua wakati.
  6. Mtu mzito

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Ikiwa lengo ni kujua nyota yako, zipo njia mbali mbali zinazotumika kama vile kupitia jina lako na nyingine nyingi, ila ikiwa lengo ni kujua tu tarehe halisi ya kuzaliwa, hapo ni vigumu.
  7. Mtu mzito

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Sabuni inasafisha na kuondoa.....hivyo dawa ukioga na sabuni nayo itaondolewa ilihali inatakiwa ikae ifanye kazi.
  8. Mtu mzito

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Zipo njia za kupata uwezo huo na binafsi nimetumia kwa muda mrefu na sasa nipo kwenye taratibu za kupunguza makali maana naona inanitoa katika ubinadamu wa kawaida. Faida yake; Unaweza kujua mengi yajayo na yaliyopita hata kama huku/hautakuwepo, kumjua adui hata kama anakuchekea au bado...
  9. Mtu mzito

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Kwa uzoefu wangu asilimia kubwa katika uganga huongozwa na wanaume ila katika uchawi hapo bado kunafungana kulingana na uwiano tofauti ndani ya makundi ya wachawi.
  10. Mtu mzito

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Hapana, sihusiki na shughuli hizo.
  11. Mtu mzito

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Ndani ya maswali yako uliyouliza yapo ambayo majibu yake yapo humu haswa kuhusu waganga na wachawi hivyo pitia page zilizopita, kuhusu haya ya siasa na uchawi niache nibaki nayo katika siri za vilinge. Pia nikipata wasaa nitakujibu kwa kina sana juu ya uchawi na siri za ulimwengu na hapo...
  12. Mtu mzito

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Kwa kawaida ndoto huja zenyewe na kila njozi ina maana yake ukitambua namna ya tafsiri yake, lakini pia ndani ya uganga zipo dawa za kukuletea mambo mbali mbali katika ndoto.
  13. Mtu mzito

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Farka hii (uchawi wa kufarakanisha) kwa Dini ya Kiislam ni vema kufanyiwa Dua na Visomo hapo nyumbani kufukuza uadui na shari za ulimwengu. Kwa Dini ya Kikristo ni vema kufanyiwa maombi maalum kuondoa shari hii. Katika utibabu njia ya awali tafuta Haltiti, kaafur mait na muosha fedha...
  14. Mtu mzito

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Bado uchawi utakupata kwa kuwa kubadilisha ni sawa na kuongeza jina jingine lakini bado hujafuta utambulisho wa awali na una nguvu kwako, rabda wakosee jina ndipo uchawi unaweza usiwe na nguvu.
  15. Mtu mzito

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Mkuu Malambi hakuna shaka.
  16. Mtu mzito

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Katika ulimwengu wa kiroho huonyesha kuwa imetawala Farka (uchawi wa kuwafarakanisha baina yenu) au fitna yenye kuandaliwa.
  17. Mtu mzito

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Hii huashiria yapo mafanikio mbele ya maisha yako ila uadui unakuandama na kupata vizingiti.
  18. Mtu mzito

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Naam unaweza kufahamu lakini sio mwenyewe bali kupitia utibabu, na ili kuangalia ni lazima nipate utambulisho wako. Akhsante.
Back
Top Bottom