Search results

  1. Ibn arab

    Katika Secta ngumu Kuwekeza mapenzi japo ina wawekezaji wengi

    Habar za asubuhi Tumaini langu ni wazima nyote, na kwa wale wenye mitihaani mbali mbali basi nitumie fursa hii kuwaombea mola awape takhfifu katika yale mnayokabiliana nayo, Sina lengo la kukatishana tamaa kwa wawekezaji wa ndani au wanje, nisije nikanukuliwa kama muhujumu mapenzi...
  2. Ibn arab

    Upendo wa mtoto wa kike uko moyoni, ila kwa sisi watoto wa kiume upo akilini

    Habari za asubuhi wana JF, Tumaini langu ni wazima wa afya, kuna jambo nimejaribu kutafakari baada ya chunguzi zangu nyingi, nahisi ntakubaliana na mimi na japo watu wataopinga pia ila hili si jambo geni chini ya jua, muhimu nimefikisha fikra zangu. Nilichokiona kuwa dada zetu upendo wao uko...
  3. Ibn arab

    Si umeshindwa kunisahau basi ntakusaidia unisahau?

    Habar za jioni , kama ilivyoada nimekuja tena , hapa na kisa hiki, Tafadhalini msinichoke ndugu zangu ni katika kupeana tu mauzoefu mbali mbali ambayo kama mwanadamu huwa unapitia , na huwenda ikawa ni funzo kwa wengine. kama Nilivyotanguliza kichw cha habar hapo juu kinachosema "Si...
  4. Ibn arab

    Mungu huwa hakosei[Likuepukalo linaheri nawe, kama sio leo au kesho]

    Wakuu Habari zenu, Nimeona nami leo bila kificho wala hiyaana nishare nanyi jambo ambalo kiukweli limenitokea katika maisha yangu, Katika miaka kama michache iliyopita Nilijikuta natokea kumpenda bint flani, ambaye kabla ya hapo sikuwa na nia ya kupenda ila nilikuwa na act tu kuwa na upendo...
Back
Top Bottom