Zito ameonyesha mfano bora kwa viongozi wapenda madaraka, kuna watu wanang'ang'ania ubunge mpaka wanajiona kama vile wana hati miliki nao. Nyie wabunge wa CCM angalieni mifano kama hii!
Tatizo la wanasiasa wetu ni njaa na kutokujijua wao ni nani katika jamii, kwa kifupi muda wa kuwapa uongozi wa juu wanawake bado kwani huyu hana tofauti na spika wetu aliyewekwa na mafisadi!
Hiyo bajaji ni mpya hata naironi zake hazijatolewa, si ajabu alikwenda kupiga deal kwenye showroom za wadosi na kujiona bora ajifagilie na ilo. Na picha yenyewe imepatikana kwenye page yake ya twitter. Ni usanii mtupu!
Nape na chama chake amechanganyikiwa. Yeye anafikiri watanzania wa leo ni kama wa enzi zile ya 'zidumu fikra za mwenyekiti' watu wana uelewa kwa saaaana kuliko yeye na chama chake.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Kamanda huwa hatishiwi nyau bana! Walidhani wakimuhuju G. Lema ndiyo wataendelea na upuuzi wao bungeni? Tatizo CCM hawataki kupokea facts! Na ndizo zitakazo waondoa 2015. Ahadi za JK ni za matirion lakini kila bajeti ikija wanatenga pesa kiduchu za maendeleo sasa kama siyo kujikaa wenyewe CCM...
Majebere nyie CCM mmezoa siasa za woga! Mtu akitaka kuchomoza kukemea jambo mnaitana kwenye vikao vya kutishana. Unaleta hadithi za kale kwa "mfalme akijamba vijakaza vinamsifu huku wakiumia kwa harufu mabay" Mh. Mnyika kawaambia ukweli kwani wamezoea kuharibu stationaries kwa kujaza makablasha...
Hata sisi Ilala ni kama tumemtafutia mtu mtaji wa kumpatia pesa ya matanuzi ! Hakuna maendeleo yoyote, hata ndugu zetu wa jagwani walipopata mafuriko huyu bwana hakunia mguu wake kuwapa pole! Hana fadhila wala msaada hata kidogo kwa wapiga kura wake
Mtwara ni weupe, na hivi walivyotapeliwa pesa yao ya korosho na serikali ya magamba, CDM wakiwasha moto utaona jinsi utakavyosambaa. It's a matter of time! Soon tunakuja kaka
Kwa mtu makini ni lazima apate wasiwasi juu ya uwezo wa JK kwani uwezo wa kuwawajibisha hao mawaziri upo chini yake lakini kwa kuwa ni mtu ambaye hajiamini alienda kuomba huruma ya CC yake na yeote hii ni kujikosha kwa marafiki zake (mawaziri watuhumiwa ambao inaelekea huo uchafu naye anahusika)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.