Session ya maswali na majibu siku zote za vikao huwa ni LIVE lakini mijadala yote NO LIVE unless ianze leo kimya kimya!!
Hata wakifanya kimyakimya bila kutoa "TAARIFA KWA UMMA", tutawapongeza na watakuwa wamechukua uamuzi mzuri kurekebisha kasoro hii na hata kuwa pamoja na sehemu kuwa ya...
Sidhani kama huku ni kujilipua au kwa kusema haya na kwa njia hii anakuwa amejilipua.
Tukumbuke kuwa usimamizi wa halmashauri hizi na ktk mfumo wa vyama vingi ni complicated kidogo na hasa pale chama kinachoongoza serikali kuu kikiwa kingine na hiki kinachoongoza kaeneo kadogo tu km wilaya...
Exactly ndivyo ilivyo sasa, nakatwa hiyo!!
Asante bwana hii fomula sikuwa naijua na siku nilikuwa najiuliza hawa watu huwa wanakokotoaje
Anyway, kwa punguzo hili hakuna chochote cha kufurahia and I agree with you!!
Unless waje na punguzo kwa level zote
Tume ya Katiba;
Hebu nisaidie kidogo. Mimi ni mwalimu na mshahara wangu kwa sasa niko ngazi TGTS F1 ambayo Basic Salary yake ni Tshs 1,235,000/=
Katika mshahara huu, nimeangalia Risiti yangu ya mshahara (salary slip) kodi ya PAYE ninayokatwa kila mwezi ni Tshs. 226,000/=!!
Shida yangu ni moja...
Tshs. 1.7 kuzibadilisha akiwa Airport akimbie nchi? How exactly? Kwa sababu kubadilisha pesa ktk duka lolote la kubadilishia fedha (Beurau De Change) ni sharti uwe na cash hapohapo na wewe upewe palepale!!
Hii 1.7bn zilikuwa zimebebwaje eti maana ni nyingi sana pengine pick up nzima kabisa!!
Nimesoma, ngoja kwanza ninywe maji ili nije nichangie
Vinginevyo, miongoni mwa wachambuzi na waandishi mahiri ninaowakubali hapa Tanzania, Ansbert Ngurumo ni miongoni mwao!!
Aaah bwana, tunaanza kuambiana kwa lugha za kuudhi tena humu? Hebu acha hizo, sio ustaarabu. Unadhani na mimi nikikurushia kwa lugha ya namna hiyo hiyo patatosha kweli humu?
Stop that aisee.......nieleweshe tu kama unadhani mimi sijui. Na kama huna nafasi hiyo, una ignore tu unaendelea zako...
Mimi nashauri tuanzishe mahakama nyingine maalumu za "wauaji wa maalbino na vibibi vizee vya macho mekundu" ......Hapo vipi eti?
Yes, si hizi mahakama zingine zimeshindwa kuzuia mauaji ya watu hawa bhana, au siyo??
Yes dukani, duka la uteuzi wa tume ya uchaguzi (NEC), huko ndiko wanakonunuliwa lakini baada ya kupendekezwa na muuzaji kwamba wauzwe ili wanunuzi wanunue!!
Mama yangu wakati mijadala bungeni ikiwa inatufikia hadi sebuleni kwetu kupitia TV, hata kama amelala ilikuwa wakianza kuongea kati ya hawa; Rev Peter Msigwa au Tundu Lissu au Zitto Kabwe au David Kafulila au Halima Mdee mkimuamusha na kumwambia fulani anaongea, walahi alikuwa anaacha usingizi...
Kwa kweli kuna haja ya hili jambo kujadiliwa kwa kina na wote tufikie mwafaka wa pamoja.
Vinginevyo kwa kweli umetoa ushauri mzuri sana na unaofaa. Na ni kweli pia kuwa, hata ndani ya serikali na ndani CCM kwenyewe wapo wengi sana wasiokubaliana na maamuzi haya ya ajabu na ya kijinga kuwahi...
Duuh!....Humu kuna vichwa maji kwelikweli
Kimojawapo ni cha huyu.
Maskini huyu shabiki wa Magufuli haeleweki ameandika nini na kwa sababu gani!
Yaani yeye kamchoka tu Zitto. Sasa sijui kambeba mgongoni kwake!?
Jamani huyu si tumeambiwa ni mke wa yule jamaa anayemiliki ile hospitali ya Mikocheni yenye jina kama "surname" yake Dr. ..........Memorial Hospital?
Inakuwaje watu watake "papuchi" inayomilikiwa na mtu mwingine tena waziwazi hivi!!??
Anyway, Pasco amalizie tu story yake na asituletee habari...
Ushauri mzuri mzuri sana mkubwa, lakini kuna mtu mmoja humu anajiita MsemajiUkweli haelewi hili.
Namshauri akusome na kama ni miongoni mwa LB46 apeleke japo ushauri huu kwa viongozi wake na waache propaganda za kijinga za kutetea kila kitu wakati watu wanaumia kwa ishu hii!!
1. Kuna tofauti ya kusema "serikali imeagiza...." na "serikali imetoa vibali....!!"
2. Hakuna cha tamathali za semi wala vitendawili ktk hili. He meant what he said!!
3. Yaani kwa "common sense" yako unayotaka kuilazimisha iwe ya kila mmoja hapa, tuambie alikuwa na ulazima gani atumie...
Kuna tofauti ya "serikali imeagiza....." na "serikali imetoa vibali vya......". Hata hili nalo unataka kutuingiza chaka!?
Hapana bwana, wote tunaielewa lugha yetu ya kiswahili. Na kwa kesi hii, binafsi nakushauri wewe ndiyo usitumie "common sense" yako iliyochoka kudanganya umma hapa!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.