Search results

  1. C

    Tangazo: Kongamano la Katiba: 15 Januari 2011 Nkrumah

    jamani mliokaribu msikose fulsa hiyo, nasi tulio mikoani tutaendelea kufuatilia kupitia vyombo vya habari. na ikiwezekana tunaomba watoa mada wasisaha mikoani ambako ndio kuna idadi kubwa ya watu tusiojua hata rangi ya katiba iliyopo sasa!
  2. C

    Waziri Selina Kombani (Katiba na Sheria) na Hatima ya Katiba Mpya

    Those who know nothing always do nothing!
  3. C

    Waziri Selina Kombani (Katiba na Sheria) na Hatima ya Katiba Mpya

    hajijui,hajitambui na elimu yake haimsaidii chochote maana suala la kitaifa si la kuliletea mzaha na masihara!
  4. C

    Yaliyotokea arusha ni ulipizaji kisasi?

    kwa hakika huo ndio ukweli.
  5. C

    Msimamo wa Jeshi la Polisi kufuatia mauaji ya Raia Arusha

    hivi ni nani waliokwenda na silaha? chadema au polisi na kwa nini waseme chadema ndio waliokosea ilihali hawakuwa na silaha yoyote? Ipo siku mambo haya yatakoma.
  6. C

    Polisi waua tena wana nchi ubaruku

    hivi mwaka huu tutapona kweli?
Back
Top Bottom