Sio hilo tu la polisi kuwapiga raia wema,,ila ambayo imeingia madarakani kwa kuchakachua inatoka kwa Mungu? je Mungu ana'support' uchakachuaji?...Huyu dingi ni muhuni tu..
Thanks, haki haipatikani kwenye kisahani...huu ndo mwanzo wa kuwachomoa mafisadi.
Tanzania ndo nchi yangu,,,sitathubutu kumtetea muovu anayekula kodi za wananchi..
Mchafu ni mchafu tu...siwezi kumwita mchafu kuwa ni msafi..mafisadi ni lazima waachie ngazi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.