Search results

  1. M

    Uchambuzi: Abramovich the billionaire from nowhere

    kuonana na magu tena??? muogope mungu kaka
  2. M

    Balozi wa Tanzania nchini Namibia (Kipilimba): Rais Magufuli yuko mzima anachapa kazi

    nimependa hii article.."former chemistry professor.. " hatari sana
  3. M

    Lowassa akabidhiwa rasmi chama, kwafukuta

    tatizo wewe ben saanane ulikuwa hauchoki kumsema lowasssa sasa leo hauoni haya? au fisadi akiwa ndani ya ccm akihamia chadema anakuwa msafi.,
  4. M

    Profesa Lipumba aomba kutengua kujiuzulu kwake Uenyekiti CUF

    lipumba rudi mjenge chama kwa kishindo kikubwa.., lazima 2020 CCM waondoke
  5. M

    Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    hizo ndio pre match za jakaya.., alisema mbinu wanazo watu wa UKIWA a.k.a UKAWA wakarelax wakajua mbinu ni kuiba kura October yaani kama siasa digital basi CCM ni kama dstv then ukawa ni azamtv.. bado tu mtakimbiana wenyewe kwa wenyewe..,
  6. M

    Ushauri wa bure kwa Masoud Kipanya

    magufuli alikuwa anashambulia serikali almost kila siku.., na wewe ulietoa post ukaona sawa.., sasa week hii tu kuandika habari ya lowasa roho imekuuma tena katka katuni ulizotuma unaona moja hiyo ni kama anamponda magufuli kuwa anaomba aandikwe coz lowasa ana make headlines kwenye magazeti yote...
  7. M

    Kwa kauli ya Kikwete ya leo, Kuna kila dalili ya kuipeleka nchi vitani

    CCM kushinda ni jadi yetu usiwe na wasiwasi CCM haitaki vita
  8. M

    Lema: Heshima kubwa kwa Mungu kumzomea Fisadi Lowassa

    Yaani leo wanamtaka fisadi lowasa na kumsifia mtu wa maamuzi magumu.., lakini kilichoniacha hoi ni pale aliposema wameagiza container la kadi za chama kutoka china.. Card from China then wanajiita wazalendo???
  9. M

    Hata kama huipendi CCM, lakini mikakati yake utaikubali!

    ukawa wamepoteana sasa., hata kick hawana Tanzania yoote wanaangalia CCM..,
  10. M

    Who is CCM's Architect?

    nilim undermine sana jakaya lakini kwa hili nimemuelewa
  11. M

    Ikiwa picha hii ni ya kweli, Nyalandu lazima ajiuzulu

    ulitaka akubebe wewe., acha wivu wa kasha ngi ngi
  12. M

    Wasiomjua Dr. Slaa soma mada hii, kabla ya uanasiasa na baada

    kanisa limemshinda ataweza nchi.. labda kuongoza familia yako
  13. M

    Wabunge wote wapinge uteuzi wa Simbachawene

    mengi anafanya kazi yake..
  14. M

    Mahubiri ya kwanza ya Askofu Kilaini tangu sakata la Escrow(VIDEO)

    kumbe mnajua kuwa kunahitajika uchunguzi.. sasa kikwete akifanya uchunguzi m nalalama anachelewa.. nyie kuchelewa sawa..?? sasa kilaini anahitaji uchunguz upi wakati hela kakubali kupokea??!
  15. M

    Waraka wa tatu wa Lema kwa rais Kikwete

    bob marley lema..
Back
Top Bottom