Search results

  1. A

    Tupunguze siasa kwenye mambo ya msingi

    Kama kichwa cha habar kinavojieleza hapo juu kuna mambo ya msingi ya kuzingatia hasa Amani na utulivu wa nchi yetu sio kufanya ushabiki Kama wa Simba na Yanga. Aman ni kitu cha msingi Sana popote pale kuanzia nyumban kwako mpaka nje ukiwa na wananchi Wenzako mkiwa mekaa popote pale haijalishi...
  2. A

    Wapinzani msipinge kila kitu kinachofanywa na serikali

    Kama kichwa cha habar kinavojieleza napenda kuwashaur wapinzan waTanzania kutokupinga kila kitu kinachofanywa na serikal, kama kina manufaa kwa nchi navojua me kwa uelewa wangu mdogo upinzan ni kuishaur serikal kwa mambo yanayoenda kinyume na sheria za nchi sio kupinga na kuibeza serikali kwa...
  3. A

    Utambulisho

    Habar wana jamii me ni member mpya wa jamii forum ndo kwanza naanza kutumia huu ukurasa ningeomba mnipokee wanajamii pia nitajifunza mengi kupitia kwenu ivo yan
Back
Top Bottom