Search results

  1. coco beby

    Msaada: Amepandikiziwa HIV baada ya kukataa kuwa na mahusiano ya kimapenzi

    Wakuu rafiki yangu hivi ninavyoongea ni mtu wa mawazo muda wote . Naombeni ushauri wenu kuna jamaa alimtongoza alipokataa akamwambia atamkomoa. Atafanya awezalo ili asiwe na mwanaume yoyote kimapenzi Na huyo jamaa Baba yake ni mganga wa kienyeji kwa ufupi ni watu wanaotumia nguvu za giza...
  2. coco beby

    Inakuwaje unamuacha mpenzi wako na kuoa mwingine halafu bado unarudi na kutaka kuwa nae?

    Unamuacha mpenzi wako mliyedumu miaka miwili na kuoa mwingine. Cha kushangaza hata miezi sita ya ndoa bado unarudi kwa x wako kuomba tena muwe wote. Hii inakuaje kaka zangu? Unamfuatilia x wako unataka ujue kila anachofanya katika maisha yake hii inakuaje?
Back
Top Bottom