Search results

  1. N

    Sekondari kongwe za umma kurejeshewa makali yake

    Serikali imeeleza mkakati wa kuzirudisha shule 33 maarufu katika ubora wake ili ziweze kufanya vizuri kama ilivyokuwa zamani. Mkakati huo ulielezwa jana na Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako alipokuwa akiwasilisha hotuba ya bajeti yake bungeni. Alisema...
  2. N

    Kuna umhimu na ulazima wa kuzifufua na kuziboresha shule zetu za vipaji maalum.

    Katika matokeo ya kidato cha nne yaliyotangazwa jana, tumeona shule nyingi za Selikali hazijafanya vyema zikiwemo shule zilizovuma kwa miaka mingi hapo nyuma kwa kufanya vizuri. Hapo nyuma ilikuwa adimu sana kuona division zero kwenye shule hizo na ilikuwa kawaida kwa shule hizo kufanya vyema na...
Back
Top Bottom