Search results

  1. D

    Mke alihama chumba, nimechukua msichana wa kazi, kuna kosa hapo?

    Mdogo wangu nitake radhi kwa maneno uliyotumia dhidi yangu, umenihukumu Bila kuelewa undani wa suala hili Kuhusu pesa, nina uhakika hujui mazingira na ni vipi pesa hizo zilipotea, ila kwa faida yako tu niseme kwamba, imefahamika au kugundulika kuwa hakufika na hizo fedha nyumbani Mwanzo...
  2. D

    Mke alihama chumba, nimechukua msichana wa kazi, kuna kosa hapo?

    Nipo relaxed kabisa, ushauri wako nimeuchukua kikamilifu
  3. D

    Mke alihama chumba, nimechukua msichana wa kazi, kuna kosa hapo?

    Mama, maneno yako nayaheshimu sana, ila tu kwa faida yako na wenye mtazamo kama wako ni hivi Nimekuja hapa ili kuona njia niliyotumia kutatua hili tatizo ni sahihi? Mwanzo nilitumia njia ya kumbembeleza, njia hiyo haikufanikiwa akaendelea na misimamo wake Mama, wanawake mna tabia ya kupima...
  4. D

    Mke alihama chumba, nimechukua msichana wa kazi, kuna kosa hapo?

    Hizo pesa sikuchukua kabisa, alipoteza town wajanja walimwibia, maana alipobanwa sana akadai hajui kama alifika nazo home au alishaibiwa kabla hajafika, hivyo linabaki kuwa suala lenye mkanganyiko mkubwa
  5. D

    Mke alihama chumba, nimechukua msichana wa kazi, kuna kosa hapo?

    Now, you have spoken very well, umeongea kama mtu mzima aliekomaa, amini kwamba nitaufuata ushauri huu kikamilifu
  6. D

    Mke alihama chumba, nimechukua msichana wa kazi, kuna kosa hapo?

    Yes hakuna shortcut in life, but there is always an alternative route, i have chosen one
  7. D

    Mke alihama chumba, nimechukua msichana wa kazi, kuna kosa hapo?

    Nimefurahi umelitazama jambo hili kwa jicho la Tatu na umeelewa
  8. D

    Mke alihama chumba, nimechukua msichana wa kazi, kuna kosa hapo?

    Nakuhakikishia kwa uwezo wa mwenyezi mungu nitaibuka mshindi kwenye sakata, in fact nipo half way to the victory Hivi sasa mm ndio nina upper hand kwenye huu mgogoro, Mungu amenipigania Mwanamke yeyote anaehama chumba chake cha matrimonial sababu Ya Madai ya kupoteza pesa wakati ameibiwa...
  9. D

    Mke alihama chumba, nimechukua msichana wa kazi, kuna kosa hapo?

    Watu wote waliotushauri wakati fedha zake zimepotea na baadae yeye kuhama, wadhamini wetu ndio walikua wasuluhishi wakuu, kila mara walikuja home kumsihi arudi chumbani kwetu akawa anakubali tukibaki wawili anadai alikua anawafurahisha tu hawezi kurudi Watu aliotaka yeye watusuluhishe...
  10. D

    Mke alihama chumba, nimechukua msichana wa kazi, kuna kosa hapo?

    Unfortunately you are far away disconnected from reality of this particular matter, therefore am not going to blame you young broda, stay blessed
  11. D

    Mke alihama chumba, nimechukua msichana wa kazi, kuna kosa hapo?

    Ni rahisi kudai hivyo tatizo likiwa la mtu mwingine, sio rahisi kiasi hicho kama vile kuzima na kuwasha taa ukutani, ni Bahati mbaya sana sikutaka kuwaeleza ni kiasi gani nilihangaika kumbembeleza mwenzangu kuwa anakoelekea sio kuzuri, nilimweka Chini na kumweleza madhara ya huu mgogoro kama...
  12. D

    Mke alihama chumba, nimechukua msichana wa kazi, kuna kosa hapo?

    Ni circumstances tu ndio zimeleta yote hayo, hakuna aliependa iwe hivyo
  13. D

    Mke alihama chumba, nimechukua msichana wa kazi, kuna kosa hapo?

    Ndio unisaidie mawazo sasa, ndio maana nimewaletea nyinyi
  14. D

    Mke alihama chumba, nimechukua msichana wa kazi, kuna kosa hapo?

    Nawasalimu wote, Tangu mwezi February mwanzoni tumekuwa na mgogoro na mke wangu, mgogoro huu ulitokana na yeye mke kupoteza pesa zake za mkopo kiasi cha tshs million sita katika mazingira ya kutatanisha, akadai mimi ndie nimechukua pesa zake, tulipoitwa kwenye usuluhishi niliona niliona ni...
  15. D

    Mke anadai mimi nimemuibia pesa zake, amani imetoweka

    Yap nitabeba mawazo ambayo naona ni constructive, pia kuja kwangu hapa ni kaona msimamo wangu kwenye sakata hili unaungwa mkono kiasi gani Pia pengine kwa upande wangu nilitaka kuona makosa yangu ni yapi kupitia mawazo yenu Ingawa huu hapa jf sio usuluhishi kiviile ni kutafuta mawazo mapya...
  16. D

    Mke anadai mimi nimemuibia pesa zake, amani imetoweka

    Hakuna pahala niliposema karudi napesa in fact kagundua asubuhi kwamba hana pesa, alivyorudi hakuangalia pochi yake hadi asubuhi Ndio maana asubuhi hakunituhumu mm, tulishauriana kwa pamoja uwezekano wa wapi kapoteza shida ni jioni alipokwenda kwa mchungaji na kuaminishwa kuwa mchungaji kaona...
  17. D

    Mke anadai mimi nimemuibia pesa zake, amani imetoweka

    Sawa umeeleweka Sitaki kutumia neno amenizushia na pia nakwepa sana kusema anafanya makusudi au ku stage manage hii issue nzima Nachoamini kimetokea hadi sasa ni hivi Huyu aliibiwa au kupoteza hizo pesa town na wajanja kwa maelezo yake mwenyewe anasema amezunguka na hizo pesa kutwa mzima...
  18. D

    Mke anadai mimi nimemuibia pesa zake, amani imetoweka

    Unaposema amenihisi kwa kuwa huenda nina ka tabia flani unakusudia nn hasa? Mama yangu ninapokwambia ushahidi wake ni maono ya mchungaji huniamini? Hana ushahidi mwingine wowote ule zaidi ya maono ya mchungaji,, mchungaji ambae ni msanii ni full magumashi Mm binafsi nilipomuona huyu pastor...
  19. D

    Mke anadai mimi nimemuibia pesa zake, amani imetoweka

    Kaabudu hata jiwe mkuu lakini sio hao watu
Back
Top Bottom