Well done Zitto,nice and wise words.Make sure you work together to achieve broad objectives of CDM and not selfishness and individual objective. You have really hit hard on their heads including green mambas and some shameless gingers within CDM
Kuna wazee kama sita wanajidanganya wakifikiri sisi watanzania ni wajinga kujua pumba na mchele ni zipi.Rais ajaye tunataka mtu mchapa kazi na ambaye ametuonyesha anaweza kusimamia maendeleo ya nchi.tunajua anaweza kuwa na mapungufu,lakini hayatatuzuia kumchagua.hatuhitaji cheap politics kama za...
Zamani tuliishi kwa kuvumiliana,kuheshimiana na kwa upendo lakini sasa ubaguzi umeshika kasi.haya mambo tuwe makini sana.pale Ethiopia wakristo wana bucha zao na waisilamu zakwao .mkristo hawezi kula nyama iliofanyiwa ibada na mwislamu; kadhalika mwiislam .kama ndiko tunataka kwenda kuna hatari...
Wanajamvi,historia ya Tanzania inaonyesha kuwa kuna watu mbalimbali walishawahi kuteuliwa kuwa Waziri wakuu wa Tanganyika/Tanzania na kufika kikomo acha kazi kwa njia mbalimbali.Sidhani namna alivyofikia kikomo ina mantiki sana katika kumwadress huyu mheshimiwa.Wote ni wastaafu kwa maana ya...
Juliana kama kiongozi wa juu unapaswa kujiheshimu na kutumia vikao vya chama kujadili mambo haya.Kutajana majina , huyu kafanya hivi na vile haisaidii bali inaonyesha utoto na kutokomaa .
Vijana mnatuangusha sana .Wakati huu ni wa kuimarisha chama ili kufanikisha lengo la kutwaa dola.Mtu yeyoyote anaeenda nje ya huu welekeo anatupotezea muda wetu.Tueleze namna unavyoshiriki kuimarisha chama sehemu uliopo badala ya kutuletea majina ya watu.Sisi hatuhitaji kusoma haya hata siku...
Kama bado kuna waafrika wa jinsi yenu basi dunia imekwisha.haingii akilini kwa waafrika kushangilia ubethuli,uharamia na uonevu wa marekani ,nato kwa taifa na wananchi wa Libya.hakika damu ya waliofaraki iwawinde usiku na mchana.na kama ninyi watz mlioenda kwa bahati mbaya huko akili zenu...
nakubaliana na tetere.CCM halisi ni chama cha wakulima na wafayakazi na mabdiliko yanaendelea NHC hayawezi kuakisi mtizamo huo.Si muda mrefu watanza kumkimbia na Kumkana mchechu.Ila ni lazima Mchechu aseme hivyo, lakini sidhani CCM ilikuwa na hiyo dira ambayo ameichukua Mchechu.Sidhani dira huwa...
Nakubaliana na kwayu ,pelekeni wakiwa hawjiwezi ili wasije rudia tena ,na has vunja uti wa mgongo kabla polisi hawajawafikia.mmeona jinsi walivyompiga mzee wa CUF Bila sababu zza msingi.Hivyo basi mkiwapeleka kihurumahuruma tutaumia sisi hapo baadae.
<br />
<br />
Nakupongeza prof kwa hatua ya kuwasaidia watanzania.hawa wageni wakifika hapa huwa wanajiona miungu watu na kuanza kuwanyanyasa watanzania.nami nitakuwa mstari wa mbele kuchangia hali na mali ikiwezekana kuwarepatrate hawa ngombe pori
Mungu apitilize mbali,Zombe anaweza kusimama tena mbele ya watu na kuomgea upiuzi huu.anafikiri watanzania watasahau aliyoyatenda.huyu anakaribia tu kufa na tumeshaona dalili.atakuwa na bahati sana kujinyonga maana siku CDM wakaingia madarakani atayeyushwa na acid afe kifo cha maumivu.damu za...
Kinachohitajika sasa wala si uchunguzi maana yote yako wazi.tutana tatizo la kuchukua hatua za dhati.viongozi wenye uchungu na nchi hawawezi kufanya mambo ya hovyo hovyo na kuacha mambo yaende kama nchi haina wenyewe.nilimshangaa sana PM kusema kumwajibisha katibu mkuu ni mpaka rais arudi.rais...
Amepanda atakuwa deputy Commissiner kutok senior assistant commissioner.atakuwa amebakiza cheo kimoja kufikia IGP.huyu bwana ni kichwa na askari kweli.ana nafasi ya kuwa IGP kama hawatambania
Ndugu naomba nikufahamishe zaidi juu ya utaratibu huu wa wateja wa mabenki kulipa TRA.TRA na accounts kwenye haya mabenki na benki yanatumia sytem inaitwa TISS kuhamisha hizo fedha kwenda kwenye account moja ilioko benki kuu kwa ajili baadae TRA wanaoanisha ni nani amelipa na baadae wanatoa...
___________________
Ni kweli unayoyasema na benki zote zimepewa nafasi ya kukusanya mapato ya TRA.nazungumza hivi kwa kuwa mimi ni banker .kipindi cha nyuma TRA iliteu mabenki machache lakini hayakuweza kukidhi mahitaji ya TRA na jamii ya walipa kodi.mwaka jana TRA ilipanua wigo kwa mabenki...
Zitto
Nakushukuru kwa mawazo mazuri lakini nafikiri approach hiyo ya kuuza hisa nisingeshauri maana ni sawa na mkulima kuuza ng'ombe wake anaempatia maziwa sasa ili akidhi mahitaji yake sasa.kuna mambo mengi unayachanganya ingawa ni mazuri na inatuwia vigumu kukuelewa .suala la kupunguza kodi...
Wewe ndie ambaye hukufikiri kabla ya kuandika.kazi ya dr si kupeleka mafisadi mahakamani .yeye kama mwanasiasa na mpiganaji jukumu lake ni kuwaelimisha wananchi jinsi chama kilichopewa dhamana ya kuongoza serikali kilivyoshindwa kazi na ni wajibu wa umma kupima na kuchukua hatua sahihi zza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.