Search results

  1. 7spirits

    Tuunganishe dot, kukamatwa kwa Nsebo na kusambaa kwa video ya gwajima

    Hivi Kolomije na Pasiansi ni mjini...??? Unaijua Pasiansi enzi makonda anakua ilifananaje? Makonda ni mtoto wa kijijini anayepambana kuendana na watoto wa mjini...! Ndiyo maana jana ameshangaa kuwa "hakuna mchaga mtoaji ila marehemu..."
  2. 7spirits

    Msiba wa mzee Mengi

    Biblia katika Zaburi inasema; "...kifo huwakutanisha tajiri na masikini..."
  3. 7spirits

    Kuna nini kati ya Mheshimiwa Rais Magufuli na Ludovick Mwananzila?

    Anajulikana Sana. Na si akijipanga, ameshajipanga na timing zinaendelea kila anapokaa anaropoka "nitakapokuwa mbunge", na mwenye Jimbo nadhani anelewa. Leta ukweli unaoujua wewe...! Mbona unakuwa Kama umefanyiwa ukaguzi na CAG.
  4. 7spirits

    Kuna nini kati ya Mheshimiwa Rais Magufuli na Ludovick Mwananzila?

    Na yule Mkuu wa mkoa Msukuma aliyeko Kaskazini mbona kila siku (usiku na mchana) anatokwa udenda kuchukua jimbo la Kitwanga Mawe Matatu, mbona hajasutwa? Au intelijensia yetu ni kwa wabaya wetu?
  5. 7spirits

    Kangi Lugola: Hakuna mtu muongo kama CAG Assad! Akithibitisha madai yake nitajiuzulu

    Hakuna Auditor wa hovyo kiasi hicho ndugu, amekutana na vocha bilioni kadhaa zimenunua vifaa mlivyopitisha na vifaa vipo then aandike kwamba hakukuta kitu. Kama taratibu za malipo zilikiukwa ila vifaa vipo ataandika query ya kukiuka taratibu za manunuzi)maliopo. Utetezi wa waziri unawaumbua TPF...
  6. 7spirits

    Kangi Lugola: Hakuna mtu muongo kama CAG Assad! Akithibitisha madai yake nitajiuzulu

    Anajibu kwa jazba sare zipo kwenye makontena anasahau kwamba mkaguzi alipopita hakuzikuta. Nchi hii ina watu na viatu...
  7. 7spirits

    Waziri Kigwangalla kama kweli wewe ni Mzalendo Jiuzulu. TTB wamekuvua nguo

    Lakini pia Mh. Waziri ni mgonjwa, inawezekana ameamua wakati faili zikiwa zikiwa zimeparaganyika
  8. 7spirits

    Sakata la CAG: Viongozi wa Kiislamu wasema Spika ana ajenda ya siri

    Hapo hakuna siasa kali wala dini kali, mfano wa mbwa kwa mtu ni dhihaka kubwa. Nasimama na CAG na si Ndugu ai kwa kuwa ni Mkristo...!! Kwanza Ukristo ni Utu wema, kiasi, upendo...kumtia mtu misuko suko kwa kuwa tu hafuati mawazo unayoyaamini ni dalili ya kukosa ucha Mungu.
  9. 7spirits

    Nasaha za Kitila Mkumbo zimuendee Assad!

    Upumbavu mtupu...!! Kuelimika ni kile kinachobaki kichwani baada ya miaka ya masomo, inawezekana Kitila aliviacha vyote kwenye Course Work na Assad alibaki na ujuzi wa taaluma yake kichwani.
  10. 7spirits

    Rais Magufuli aguswa na utendaji wa JWTZ, amwaga vyeo na ajira

    So kazi ya Jeshi la Wanasiasa Tanzania limekuwa reduced to this extent? Na wale wa jirani na Chuo Cha Ushirika Moshi watoe matamko gani? Are we a shaken state? Kila mwenye kitengo anaropoka kivyake, usinitishe kana kwamba nimetaka mabaya juu ya nchi yangu, ninyi kucha kuchwa mnampotosha mfalme...
  11. 7spirits

    Rais Magufuli aguswa na utendaji wa JWTZ, amwaga vyeo na ajira

    Jeshi la Wanasiasa wa Tanzania...
  12. 7spirits

    Biashara yangu ya Bundi imenidodea

    Hivi bundi wengine wanakuja lini? Nimemiss water cannon salute...!! Halafu Mumbai hawaendi tena ilihali uliwaleta wateke soko la akina Ndugu ai kwenda Kliniki Apollo India
  13. 7spirits

    Biashara yangu ya Bundi imenidodea

    Soon bundi watabeba mbao from Iringa kuziwahisha Dasalaam...! Bundi wamepigika hao
  14. 7spirits

    Biashara yangu ya Bundi imenidodea

    Bundi wako ulitumia janja janja sana kuwaingiza sokoni. Mara wawameze KASUKU wa kijivu, mara wajinyakulie Nyama ya mbuzi ya CHOBBO INVESTMENT, vurugu tupu...!!! Pambana na bundi wako...
  15. 7spirits

    Mtangazaji wa Habari RFA Ahukumiwa jela miaka 30 Baada ya Kubambikiwa Kesi! Inasikitisha Sana

    RFA watangazaji wake ndiyo walitumika sana kutuletea "the Stone", kwa kutunga uongo uongo mwingi kumhusu yule"mamluki wa Monduli", nadhani uongo umeanza ku-back fire.
  16. 7spirits

    Maoni na Ushauri kwa Joshua Nassari

    Spika hana tatizo mkuu, amepata mpenyo (kama X-MP hakununuliwa), basi alijilengesha mwenyewe kwenye Ranging Scale ya Mh. Spika na akajaa as a target. Then kuna watu walitaka Mh. Spika asi-pull the trigger to hit the target. Ameaibisha sana umma wa vijana huyu, umma wa wapinzani na wapenda...
  17. 7spirits

    Maoni na Ushauri kwa Joshua Nassari

    Busara ni pamoja na kunukuu miongozo iliyompa uhalali Mh. Spika kufanya maamuzi. Kweli kwamba CHADEMA mnadharaulika sometimes kwa kuwa critics kwa mambo yenye hoja za msingi. Unataka busara gani kwa siasa inayoendelea Tanzania? Tumia akili, UNAMPA ADUI nafasi then unakuja kuigiza KULIA mbele ya...
Back
Top Bottom