Source: RC Mulongo atuhumiwa ufisadi
Hii Habari iliandikwa kwenye Mwanahilisi Online tarehe 18.06.2015.
Ishu iko hivi kuna safari ya mafunzo Dubai ilifanyika mwaka jana , Miongoni mwa waliokuwemo kwenye msafara huo ni pamoja na
1. RC Magesa Mulongo ( alitakiwa kuwa kwenye msafara lakini...
Wadau kama kawaida mimi ni whistle blower na nimejitolea kusaidia harakati za Raisi wetu John Magufuli na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kufichua maozo ndani ya nchi yetu.
Nilianza na habari hii siku chache zilizopita...
Wadau;
BAADHI ya kampuni za uuzaji mafuta zinatuhumiwa kujihusisha na wizi mkubwa wa shehena yenye thamani ya sh. bilioni 18 ya mafuta yanayoagizwa nchini, imefahamika.
Uchunguzi umebaini njia kuu mbili zinazotumika kuiba mafuta na kusabababisha hasara kubwa kwa Taifa.
NJIA YA KWANZA
Ni...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.