Habari wana Jf,
Najitokeza kwa mara yakwanza kusaka mke wakuoa kupitia jf kwani mke anapatikana popote alipo panga mungu.Mimi Ni mwanaume mwenye umri wa miaka 28 ni mfanya biashara natafuta mke wakuoa umri 23-35, awe hana mtoto,sina ubaguzi wa elimu, dini, kabila, wala rangi. Karibu sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.