Search results

  1. E

    Kitu gani kinachosababisha gari kuungua kwa kasi mpaka abiria kushindwa kufungua mlango kukimbia?

    dah hilo la bac kuwa na mlango m1 hta mm huwa linanishangaza sna. kwa case ka hii watu 50+ kutokea mlango m1 kuna hatari ya wote kufia mlangoni. japo mungu akipanga kifo day hiyo huwezi kukwepa binadam but kuna zingne huwa hapangi yeye tunatengeneza mazingra wenyewe.
  2. E

    Kitu gani kinachosababisha gari kuungua kwa kasi mpaka abiria kushindwa kufungua mlango kukimbia?

    Mimi mchangiaji m1 hapo juu amenifumbua macho kwa kiac kikubwa na nadhani hasa ndio vyanzo. Amesema 1. panic 2.electricity system kublock hii inaweza kupelekea vitu vingi kushindwa kuoperate kama kawaida + panic uliyonayo ukashindwa kujiongeza faster I mean unaweza ukawa hata na hiyo nyundo...
  3. E

    Serikali kuondoa ajira za kudumu za umma, Juhudi na bidii ya mfanyakazi kazini kuamua hatma yake

    huwezi kusema kuvunja mkataba ni simple tu lyk that.kuna fidia take ambayo sidhani ka ni affordable. sema kwa mahakama zetu hzi uchwara nakubali lolote linawezekana tu.
Back
Top Bottom