Search results

  1. L

    Kinadada hawasaidii kusukuma gari wanakuangalia au wanatafuta utaratibu mpya

    Mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanamme atafanya kaz ya kutoka jasho,, hawakuumbiwa kutoka jasho mkuu soo ni kawaida
  2. L

    Siwezi kwenda msibani na ndevu

    Nimeipenda hiyo
  3. L

    Mechi hakuna lakini ameniganda kama ruba

    Inawezekana kupendwa kwa hivo.. Lakin huyo anakupenda na mkeo ndo kikwazo,, kikubwa mvumilie tu muwe marafiki hivo hivo coz we umeoa kaka tunza ndoa yako
  4. L

    Wapenzi lakini hatujawahi kuonana

    Hata sula siijui simu yake haina wasap, pesa hapana sijawah mtumia labda vocha mala moja moja wandugu
  5. L

    Wapenzi lakini hatujawahi kuonana

    Habarini wandugu na poleni na majukumu ya kila siku, 2014 mwishoni nlitumiwa sms ya salamu ya kawaida tu na namba ilikuwa ngeni. Nikapiga simu akapokea mdada baada ya salamu akaniuliza wewe nani nikamwambia umentumia...
  6. L

    Wasichana: Fanya ndoa/uhusiano bora na wakudumu kwa haya

    yaa hilo nalo neno, pesa utapata ila tu uwe msikivu
  7. L

    Girls and women, take it from me

    Dat gud, utakuta anakwambia m nataka msomi akati ye kaishia form 2 c, akija kwako anataka akute flat wakati toka kazaliwa had umemtongoza babaake hajaweka umee kwao.. Ladie mjichunge bac kila man anataka good life but n mdogo mdogo
  8. L

    Wasichana: Kwanini hamwasahau wapenzi wenu wa zamani?

    pengine mliachana vibaya,, but nafkr iss n kusonga mbele
  9. L

    Mke wangu hataki niende kazini

    Wajawazito wanamambo mengi kwan shukuru mimba hamsumbu kwa maradh,, ila jipangieni ratiba ambayo itazingatia mda wa kaz n kumfanya brain yake ikontroo maamuzi kwan ratiba itamfanya ajue kesho hata iweje lazima uondoke asubui na urud mida mlopnga hapo ni kumjenga tu kisaikolojia bradaa
  10. L

    Wasichana: Kwanini hamwasahau wapenzi wenu wa zamani?

    Cijazungumzia swala la kuachwa.. Inaweza ikawa m ndo nlimwacha. Kikubwa nataka jua tu why wanawake hawakati mawasilino na ma x wao..?
  11. L

    Wasichana: Kwanini hamwasahau wapenzi wenu wa zamani?

    Tax waungwana nawapata ila miss chaga du hiyo noma kwahiyo tusio na kitu twende wap
  12. L

    Wasichana: Fanya ndoa/uhusiano bora na wakudumu kwa haya

    Hi, Naomba niwaguse sana ladies, kwan mara nying me anapo tongoza anajua nn anafanya either anataka kukuoa au chapa ilale asepe, lakini ke anakuwa hajui kitu zaid kesha ambiwa anapendwa basi.. Amin ke unaweza kubadilisha mawazo ya me hata kama alikua hana lengo la...
  13. L

    Wasichana: Kwanini hamwasahau wapenzi wenu wa zamani?

    Hi guyz, Siku mpya jua jipya tabu za life zile zile hasa kwetu sisi tabaka la chini.Leo nataka jua kwanini mabinti hawasahau wapenzi wa zamani.Mfano: nilikua na mpenzi but sometimes alikua anawasiliana na jamaa yake wa zamani kupitia simu ukiuliza anakwambia simu alishika mdogo ake coz...
  14. L

    Nishaurini kuhusu huyu dada

    Na wew mweke wa spea hivo hivo akipiga pokea, ukijiskia mtafute sikum akikubali donoa ila jua hapo hakuna mke wala mchumba
  15. L

    Kanikataa, je nimchomee kuwa ana vyeti feki?

    Hapo kikubwa ni kutizama mbele, achana na habar za kuchoma wewe fanya yako, mlango mmoja ukifunga mwingine unafunguka,, anza tu kusali, kuwa na marafiki mda mwingi ila c katika pombe, katizame mv, mpira itakusaidia kupunguza mawazo
  16. L

    Kanikataa, je nimchomee kuwa ana vyeti feki?

    Hapo kikubwa ni kutizama mbele, achana na habar za kuchoma wewe fanya yako, mlango mmoja ukifunga mwingine unafunguka,, anza tu kusali, kuwa na marafiki mda mwingi ila c katika pombe, katizame mv, mpira itakusaidia kupunguza mawazo
  17. L

    Kuna aina tatu za machangudoa

    Daaah,, yaan mke wangu cjui atazaliwa lini,, ila dawa n kutafuta sehemu ya kujihifadhi katika hizo tatu ili badae nawe yakikukuta usiumie sanaaa,,
  18. L

    Je, Ni sahihi kwa mwanmke kuanza kumtunza mume kabla ya ndoa?

    Tena usafi fanya kwa nguvu zoteee, tunapenda mtu anae jua kupika, msafi na asie mvivu,, afu mbona nyie hamwishi kuomba pesa kablaya ndoa
  19. L

    Je, Ni sahihi kwa mwanmke kuanza kumtunza mume kabla ya ndoa?

    Tena ukienda kufanya usafi fanya kwa nguvu zotee, mwanaume anataka mtu anae jua kupika, msafi na asie mvivu hapo n kawaida, mbona nyie hamwishi kuombaa pesa kabla ya ndoa
  20. L

    Mnapenda nini jamani maharage maji mara moja au hard to get?

    Ladies ukitongozwa kama mnafahamina mda mrefu hakuna haja ya kusumbua kama umependa say yes km hutaki ni no,, but km humfaham mtongozaji na unahisi kukubali chukua time kidogo mchunguze jilizishe ujue km anakupenda kweli, mme wa mtu, mchumba wa mtu, jambazi, tapeli ukitumia muda kidogo tu uta...
Back
Top Bottom