Search results

  1. 1800

    Majimbo ambayo UKAWA wameshinda Ubunge lakini Magufuli ameongoza kura za Rais

    Anaekaa kimya sio mjinga,mjinga ni wewe unaekimbilia kupayuka
  2. 1800

    Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Mpaka Morogoro wapinzani wametoboa!!kweli generation ya wajinga inaanza kuondoka
  3. 1800

    Waliomdharau Zitto sasa awafunga midomo

    'Kafulila kaondoka???this is too bad
  4. 1800

    Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Hivi Mnyika ameshinda wadau?na Azzan Idd je?
  5. 1800

    Nasikitika sana nimepoteza haki ya kupiga kura naombeni ushauri jamani

    Asante mkuu!nami niko mkoani nilikua nawaza niwahi kurudi kesho ili kuhakiki ila kwa msaada wako nimeshakijua kituo changu
  6. 1800

    TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

    Mungu aepushie mbali na wote wawe salama!japo ni mwana mabadiliko lakini naumizwa sana mwanadamu mwenzangu anapopatwa na maafa!wenzetu wanatakiwa washuhudie mabadiliko na walichoshindwa wao wenzao wakiweza huku wakiwa na afya tele!maana mwisho wa siku sote ni Watanzania na sote tuna nyama na...
  7. 1800

    CCM waja na timu bajaji: Kampeni ya mtu kwa mtu ushindi 90% Tsunami

    Nadhani wangepata elimu walau ya shida kwa level ya Marehemu Kanumba wangekomboka kifikra!mbona sasa wanahutubia watoto wengine kama wanaendelea na shughuli zao tu,Arusha wanakuja lini?
  8. 1800

    CHADEMA Chukueni hatua dhidi ya Dr. Slaa na Mzee Mwanakijiji haraka sana

    Mzee ana vituko sana huyu,ila the problem ni kua zinatumika hela za bure tu,imeshakua too late!kubadili mindset ya wale waliodhamiria kumpa kura fulani kwa sasa haiwezekanibtena,mimi nipo rural area tena ndani hasa huku Morogoro naliona ilo,vijana wanasema hata kwa nini msimamo wangu...
  9. 1800

    Yaliyojiri Jijini Arusha: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dk. Magufuli – Oktoba 6, 2015

    Cha kuomba ni uhai tu then ukweli utajulikana kama mlikua mnajifariji na kujidanganya au Arusha ina wapiga kura wengi wa Ccm
  10. 1800

    Ngome za CCM zimebaki wapi na ngapi?

    Ukweli ni kua Morogoro hasa Kilosa,Vijijini na Morogoro mjini bado Ccm wana nguvu sana,ila kwa Kilombero na Mahenge kule Ccm ni kama imefutika,nadhani kwa majimbo hayo hata watu wake walibahatika kuelimika mapema sana ku compare na majimbo mengine ya Morogoro huu ni ukweli ulio wazi
  11. 1800

    Nawachokoza: Vicent Kigosi (Ray) na Aunty Ezekiel, milioni 65 mlifanyia nini?

    Ujinga mtaji,mimi nadhani kama ni kweli hata hao wali wahonga hawajitambui,hao kina Ray wana impact gani kwa wapiga kura hasa vijana wa Kitanzania?kukosa elimu kwa wasanii wetu na kutojitambua ndio kuna gharimu!nawapongeza lakini kama kweli wamevuta ilo bingo la 65m maana sidhani kama kazi zao...
  12. 1800

    Magufuli kumfilisi Lowassa

    Kumbe ndio wale wale mjinga ndio m taji?siliace ndio kitu gani ndugu?go back to school utakuja kujigundua ulikua mtu wa aina gani
  13. 1800

    UKAWA waongea na Waandishi wa Habari kuhusu Utafiti wa TWAWEZA

    Kwa uandishi ni ngumu kuwa na uwezo wa kumuelewa Mbatia!
  14. 1800

    TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

    Kapumzike kwa amani Mama Cellina Kombani!umetangulia bila kushuhuudia mabadiliko tuliyodhamiria!
  15. 1800

    Nina toa ushauri kwenye kilimo cha alizeti, mbaazi, maharage na mahindi

    Mkuu habari na asante sana kwa uzi huu,sasa mimi shida yangu kubwa nilikua nataka kujua zaidi kuhusu kilimo cha mbaazi hasa mkoani Morogoro!je naweza pata contact zako mkuu?
  16. 1800

    Masaburi awakonga wakazi wa Ubungo

    Duniani kuna vichekesho sana
Back
Top Bottom