KWA NINI ZANZIBAR LEO SI JANA:Tangu kuanza siasa za vyama vingi nchini miaka ya tisini upinzani kwa upande wa ZNZ umekuwa mkubwa kati ya Ccm na Cuf. Na Hilo limepelekea migogoro mikubwa iliyopelekea usuluhishi wa kimataifa kuwepo ZNZ na hata kupelekea kuwepo wakimbizi waliokimbilia...
Ikiwa nchi kweli inachukia USHOGA inatakiwa ikemee viwakilishi wa ushoga na kujifananisha mwanamke na viongozi wa Dini wasimame pamoja kukemee hili kwa majaliwa ya maadili ya Taifa.
Sipendi kuhukumu bila ushahidi hili linanifanya nijipe moyo kwamba huenda aina ya Rais tuliyemtaka watanzania bila kujali CCM ,UKAWA AU ACT ni Mh Magufuli usinibeze!
Sihitaji kukuelewa kwa Sasa umechanganyikiwa saana Japo kwa imani yangu tena ya mbinguni naamini ni kweli uchawi upo licha kufanikiwa au kutofanikiwa kwa uchawi ni jambo lililo mkononi mwa Muumba MUHIMU :Ishi maisha ya Imani na jua lililo kufika lisingekufika ila ni ili ujaribiwe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.