Kufanya hivyo ni kupunguza bacterial load mwilini na hapo utapata nyama nzuri isiyoharibika mapema. Na hii ainatakiwa kufanyika kwa wanyama wote wanaotakiwa kuchinjwa. Ukienda machinjio za ng'ombe, mbuzi kuna sehemu inaitwa Lairage ambapo wanyama wanahifadhiwa hapo kwa masaa kadhaa (yasiyopungua...
mtoa mada hapo kwenye manispaa ni halmashauri za miji, huwezi kutoka hatua ya mamlaka ya mji mdogo kwenda hatua ya halmashauri ya manispaa, lazima upitie hatua ya halamshauri ya mji kwanza.
Sijajua kwa nini Star TV wanamtumia sana huyu jamaa. Mara kadhaa nimemuona akifanya uchambuzi Star Tv lakini hamna kitu cha maana anachoongea. Labda kupitia jukwaa hili Star Tv watatuelewa wadau wa vipindi vyao.
kwa mujibu wa sheria za nchi yetu mtumishi wa umma anayo haki ya kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa, lakini haruhusiwi kugombea uongozi ndani ya chama na endapo ataamua kufanya hivyo basi atalazimika kuacha kazi kwenye utumishi wa umma. Kwa hiyo msigwa kama ni mwanachama tu wa CCM...
Kilaini siyo msaidizi wa Pengo, wote hao ni wateule wa Papa, na Pengo alishasema hawezi kuliongelea hilo kwani mwenye mamlaka juu ya Kilaini ni Papa mwenyewe.
Kinachomsumbua huyo Prof ni hiyo rank ya shule kwani anaona fedheha kuonekana Prof ameshindwa, na hii ni hulka ya wasomi wengi kutokubali kwamba wamefanya makosa.
lakini ni juzi tu hapa JF tuliambiwa wagombea wote 100 wa CDM wameenguliwa na kwamba CCM imepita bila kupingwa, je hii in maana mtoa uzi hakuangalia vyama vingine vinavyounda UKAWA hali inayosumbua watoa rushwa hadi wanapata kipigo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.