Search results

  1. M

    Kauli ya mtikila juu ya yaliyotokea Arusha

    mtikila huwa ni fafa basi huo ndio mtindo wake wa maisha ni ndumila kuwili na anpenda pesa kufa ila analazimisha halafu hana shukrani
  2. M

    Batilda Buriani RC Mwanza

    Huyu ndiye aliyekataliwa na halafu mauaji yote ya mwanza ni sababu ya shetani huyu, anang'ang'aniwa kwa nini kuna watanzania wangapi ambao wako FIT
  3. M

    Kauli ya Zitto kuhusu yaliyotokea Arusha

    Zito nenda Arusha
  4. M

    Makamba atumia Biblia kuwalaani Chadema: HUYU MZEE KACHANGANYIKIWA

    Huyu mzee mshirikina mkubwa, mla rushwa mkubwa, amevuruga hata mwelekeo wa Chama chake. Hivi gharama ya kulinda maandamano yaendelee kwa amani na matokeo ya kulazimisha watu waitii mamlaka aisemayo chini ya CCM ndiyo kuuwa watu na kuuharibu mji ambao ni GENEVER ya Africa. Sipendi muandike habari...
  5. M

    This is Rostam I know... The Story Behind the Man

    Huyu alinunua kiwanda cha ngozi kule Morogoro halafu alikuwa na kampuni ya African Trade pale PUGU Road ambayo kasheshe wewe'''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''
  6. M

    TOP 5 Political Leaders wanaopendwa na Watanzania kwa mwaka 2010

    Dowans Eppa Vodacom Kagoda TICTS Huyo wamwisho amepangishwa nyumba yako kwa miaka thelathini na tano na Mramba aliwaandikia barua wadau wampe ushirikiano. Aisee mpaka tutakapokuwa tumekufa
  7. M

    Mwanasheria mkuu amepotoka

    Hesabu : Mramba +Werema +........+......+Makamba=Wametupeleka babaya wakae kujibu hoja za kebei hizi wasidhani naye JK anapendezwa na uchochezi wao
  8. M

    Mwanasheria mkuu mwogope Mungu VOX POPULI VOX DEI.

    Wewe ni judge halafu unatamka maneno hayo kesi gani utaifanyia haki? Marekabisho kwa kuandika katiba ni lazima huwezi kushindana na PEOPLES POWER. Wewe unatulinganisha wenzio na BATA tuonee huruma mambo mazuri huanzishwa na wachache kwani akili ni nywele kila mtu ana zake au wewe huna nywele au...
  9. M

    Makamba katibu mkuu wa CCM hakui tuu analeta ubabe hapa wakati ni mla Rushwa mkubwa

    Wenzio wanatafuta njia ya kumakiza mgogoro huko Arusha wewe waleta za kimabavu hapa. Huoni ndio uliyoipeleka CCM pabaya.
  10. M

    T-shirt za dr slaa

    Fanyeni hima kusudi iwe good timing
Back
Top Bottom