Search results

  1. R

    Baraza la Mawaziri kivuli nalo lipanguliwe

    Naona wewe na mtoa mada hamfuatilii speech za mawaziri vivuli. Mfano tu, fikiria speech za akina Mnyika, Mdee, Zitto, Lema na wenzao. Cheki pia kamati za kisekta zinazoongozwa na wapinzani, eg zitto, cheyo na mrema
  2. R

    Baraza la mawaziri kutangazwa wakati wowote-Ikulu!!

    Sidhani kama kuna mpinzani anayejiandaa kuwa waziri. Pia haiwezekani kwa sasa mtu yeyote asiye mbunge kuteuliwa, wa kuondolewa kwa PM Pinda, maana hatua hii italazimisha ama kusubiri bunge la Juni au JK/SPIKA kuitisha la dharura ili kuwaapisha au kumthibitisha PM.
  3. R

    Mkuu wa kaya hana mawaziri wapya wasafi lazima akope

    Kuhusu lap top msimamizi hajakiri.
  4. R

    Hili la Membe anayelijua atushushie

    Mmekosa cha kumbambikia
  5. R

    Naombeni Link ya Magazeti ya Tanzania

    Cheki hapa utapata yote: rsmiruko.blogspot.com
  6. R

    Kutoka Bungeni - Jumamosi 21, Aprili 2012 (Videos)

    Hapo ndo umwelewe sasa
Back
Top Bottom