kiukweli waandishi wetu wa kibongo wanazingua sana. naomba mheshimiwa waziri wa elimu alifanyie kazi suala hili maana wanafunzi wetu wamekuwaq wanakimbilia kutumia vitabu bila kujua ubora wake na kujikuta kwenda chaka katika mitihan yao!!!!!!!! tuchukue hatua
hata mimi baada ya kukosa lot zote nkaamua kwenda hadi bodi na ikaonekana fomu yangu haikufika, hvyo wakanitaka niandike barua na kuambatanisha nakala ya fomu ya mwanzo! hvyo unaweza kuxubl kumbe details zako hazipo bodi!! nakuxhauri fka bodi ili uhakiki taarifa zako kama zipo!! mungu mwema...
tunasubil kuhudumiwa mkuu, inaitwa namba ndo unaingia ndani kuhudumiwa!! off coz huduma ni nzur jaman unapata mda wa kueleza tatzo lako na unapewa ushaur ili umalize tatizo lako!!
katka majina ya waliokosea kuaply jina langu halikuwepo kabisa, pia nilivoenda jana wakanambia niandike barua niambatanishe na nakala ya fomu niliyotuma mwanzo,! bt cjui kama wataifanyia kazi daaah
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.