Search results

  1. Bejankabes

    Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

    Uhalisia upo wapi? Kila mtu hivi mara yule hivi. Labda niseme kwa mtazamo wangu Wengi wape wachache tuwasikilize.
  2. Bejankabes

    Magufuli yupo wapi

    Teh! Hatari hii
  3. Bejankabes

    Kuna uwezekano Rais akawa rafiki wa wahalifu

    Nchi ni ya watu wote,lakini wengi wao ni wananchi wakawaida(si viongozi wa wenye utajiri),hawa ndio wenye nchi maana hawanapakwenda zaidi ya ndani ya taifa lao. Basi watakachokiamua tar25/10 basi nakiwe ndio furaha yao ndani ya taifa lao. #mabadiliko2015
  4. Bejankabes

    M4PI....! Kituko kingine cha CCM maslahi

    Wasubiri watayaona madhara ya kuupiga ng'wenzi mkuki tar 25/10
  5. Bejankabes

    Tume ya uchaguzi NEC imeuza taarifa za wapiga kura kwa mgombea wa CCM!

    Uliisave namba kabla ya screen shot? Naona jina lipo hapo juu au mlikuwa na mawasiliano kabla? Na kama ipo hivo NEC wanachakujibu isije kura yangu ikaenda kwingine kwakweli. Imeniudhi.
  6. Bejankabes

    Mnaomba kura hamna hata aibu! mmeshindwa kufanya haya miaka 50 leo mtaweza?

    Na ili tuweze kufanya tathimini sahihi na ya viwango katika utendaji wa serikali,yatupasa tupate utawala wa vyama vingine ili baada ya miaka kadhaa tuone wapi tulipo na ni watu ndo tatizo au mfumo?
  7. Bejankabes

    Tunataka Rais anayeijua nchi na siri zake!

    Nawapongeza nyote kwa mitazamo yenu mizuri isiyo na chembe ya ushabiki.#mabadiliko2015
  8. Bejankabes

    Wajanja waanza kushuka kimyakimya bus la CCM

    Usifike mbali,kafala tena? Hizi ni siasa tu,kiongozi yeyote akishinda atatuongoza sote. Lakini cha msingi ni #Mabadiliko2015 njoo kwetu.
  9. Bejankabes

    CCM kuishtaki CHADEMA kwa kuibia mgombea wake

    #mabadiliko2015 hayaepukiki, unamawazo mazuri lakini yalishapitwa na wakati. Wenzetu wanasema "TIME WILL TELL"
  10. Bejankabes

    Watanzania ni ignorants au tumelogwa? Oktoba 25, tutafanya informed decision au tutachagua tuu?

    Mwaka huu mabadiliko hayaepukiki,tumejiondoa ujinga sasa
  11. Bejankabes

    Huyu ndiye Rais wangu mimi na wewe

    Nafurahi kuona watu wanahitaji mabadiliko ya mfumo kuleta mabadiliko yakiuwajibikaji, nzuri zaidi wameshaamua.
  12. Bejankabes

    Lowassa kavunja record, tumpe kura ya ndiyo

    Wananchi 90% wanataka mabadiliko nje ya #ChiChieM na hili linaonekana wazi,mfumo mbovu utaleta utendaji mbovu,mfumo imara utaleta uwajibikaji,#mabadiliko2015 hayaepukiki
  13. Bejankabes

    Lowassa atakavyoibuka kidedea kwenye mdahalo

    Anaweza sana tu! Akijibu amelala,amekaa,amesimama chamsingi jibu sahihi na limejitosheleza,#Mabadiliko2015
  14. Bejankabes

    Wajanja waanza kushuka kimyakimya bus la CCM

    Nawengine hawashuki kihasarahasara wanachomoa na vifaa(wanalamba takrima halafu tar25/10 kura UKAWA)
  15. Bejankabes

    Nimeshangazwa na mengi lakini Kinana kavunja Rekodi

    Kweli kabisa au badae wakichaguliwa tena watafanya madudu yao halafu watatushangaa kwanini tuliwachagua wakati tunaujua mfumo wao mbovu?
  16. Bejankabes

    Lowassa: Damu yangu inachemka

    UKAWA nimeukubali mwaka huu,umoja ni nguvu utengano ni udhaifu. Hata walete visa gani tumeshaamua.
  17. Bejankabes

    Breaking news

    Hatari kabisa.
Back
Top Bottom