Search results

  1. K

    selasini ni mbunge wa chama gani?

    Bado mtawajua kwa matendo yao, kinachohitajika ni kutumia umakini kidogo tu. Hahitaji kwenda shule hii.
  2. K

    Pasco Tuombe radhi CHADEMA-Umemwelewa Vibaya Hon Mbowe

    Mama ukipata muda na kama ukiona inafaa jaribu kutuelezea kwa maoni yako unadhani ni kwa nini rais ameamuua na kulazimka kukubali mchakato wa katiba ambao haukuwa kwenye ilani ya chama chake? Itapunguza watu wanatoa commet kama hiyo hapo juu.
  3. K

    CHADEMA yakubali yaishe! yamtambua Rais, yampongeza Rais

    Unajua huko ambako si uraiani inawezekana wana behave kulingana na kikile wanachokusudia kuachived, sasa kwa nini wengine hili linawapa tabu? Wakati mlikuwa mnamuona rational ndicho alichotakiwa kufanya na sasa amefanya alichotakiwa ambacho kwa wengine si, na wengine ni, rational. Ingawa angekua...
  4. K

    Kwa wasiomjua Magufuli, Je, anafaa kuwa Rais?

    Naona ni mkakati endelevu, wamemaliza kupanga safu zao bungeni sasa waendelea na hatua nyingine. Baada ya Magufuli atafuatia nani mwingine ambaye mnamuona ni tishio? Nikulize kwani ule mkakati wa samaki haukufanya vizuri?
  5. K

    CHADEMA yakubali yaishe! yamtambua Rais, yampongeza Rais

    Kama maneno yaliyo andikwa na huyu comrade ni, namnukuu, "chadema sasa tusonge mbele na mimi nikirudi uraiani, mwisho wa kunukuu". Hivi hii lugha ya uraiani inatumiwa na watu waliopitia au wenye taaluma gani hasa? halfa tafakari alichoandika. Katika kuchangia bunge, kila akiongea mb wa cdm...
  6. K

    Mbona Tukiweke Issue za Wazanzibari wanavyoina Bara Moderator anaziondoa?

    GinG'ingi ndiko alipokimbila jumbe kuwakimbia hawa watanganyika wachawi.
  7. K

    Government coffers are empty

    Kumkamu ng'ombe bila kumpa majani mishowe utakosa hayo maziwa, ukijisahau akifa ndio na wewe umeisha, tunavuna tulichopanda.
  8. K

    Waziri mkuu awachambua CHADEMA; Lema amtuhumu kudanganya

    Wananchi tutamhuku yeye PM na cha chake kwa wakati mwafaka, na hivyo ndivyo itakavyo kuwa kwa Lema na chama chake wakishindwa kututhibitishia kauli zao, kuonyesha kuwa tumechoshwa na viongozi wachovyo wa kufikiria ila wanaturopekea tu kwa kadri wanavyojisikia wao.
  9. K

    Ridhiwan anapewa escort; Kwanini?

    Kwa kujipendekeza hukohuko uwashauri huo ulimbukeni wao wauweke kwenye katiba kwani 2015 sio mbali wataumbuka.
  10. K

    Nitajie mawaziri 5 tu ktk serikali ya sasa ya jk walioshindwa kumudu kazi zao vizuri?

    Nilivyo muelewa mimi huyu mawe matatu ambaye sio original ni kati ya walioshindwa kazi, pia inaonyesha ni msanii kwani jina mawe matatu si lake kwa asili, kaiba jina la mtu. Au Mdasi wa Mwitu ndiye mawe matatu original. Flight of ideas.
  11. K

    Lowassa and Co., waliteka Bunge; Sitta, Mwakyembe kudhibitiwa

    Kabla ya kushukuru ulishajiuliza na kujiridhisha kuwa kamati hizi hazina wenyeviti wasaidizi au manaibu? pole.
  12. K

    Nitajie mawaziri 5 tu ktk serikali ya sasa ya jk walioshindwa kumudu kazi zao vizuri?

    Yeye ametutatuilia tatizo la umeme kwa kuliongeza au kwa kurudi rivasi, tarehe zote alizotuahidi huko nyuma kuatutakua hakumamatatizo ya umeme zimefika zimepita, hakumbuki anaendelea kutoa ahadi nyingine za tarehe.
  13. K

    Kwa wabunge wa CHADEMA...

    Kitu kingine ambacho wanatakiwa hawa cdm ni kuwa makini sana katika kila wanachofanya na kuchangia bungeni. ccm, spika naibu wake na wapinzani mamluki wanatumia character assassination kwa kuwalenga baadhi ya wabunge wa cdm na matendo ya cdm, kutaka kuionyesha jamii ubaya wa cdm, sasa cdm...
  14. K

    CHADEMA Kutoka Nje: CCM Imeumia sana

    Nimeipenda hii kweli, tena tuseme hivi capt wa timu kaokolea mpira golini kwake, na kwa vile wamejifunga wenyewe hawajui kuwa ndio wamefungwa hivyo.
  15. K

    CHADEMA Kutoka Nje: CCM Imeumia sana

    Lazima iwaume wao karibu wote hawajiamini, wamelelewa mambo yote ni ndio mzee sasa wakiona siasa za kisasa zinavyoendeshwa wanabaki kukosoa wanasahau wananchi walicho watuma, kwa uwakilishi huu na wakishindwa kubadilika kuendana na wakati watazidi kupungua humo mjengoni.
  16. K

    Naomba kujua juu ya kadhi court

    Ukiyasoma maneno haya na kuyatafakari utagundua walioyatoa na kuyaandika walikuwa na akili na waliona mbali. Lakini tunaweza tukawaendekeza wapumbavu wakatuletea kuchanganya dini na mamlaka ya nchi isiyo na dini. Tukiwakubalia ikatokea hivyo, tutavurugana sana na mwisho wa siku tutakuta hakuna...
  17. K

    Mapungufu katika Wimbo wa Taifa la Tanzania

    Kiongozi hapa nakupigia saluti. Tunamuomba mungu awabariki viongozi wetu, inatia kinyaa na kichefufu pale unapowaombea viongozi baraka ili wawatumikie mafizadi na matumbo yao wakiwaacha wananchi, taabu kwelikweli lazima ubadilishwe.
Back
Top Bottom