Search results

  1. S

    Watanganyika wanaoishi Zanzibar watakiwa kuomba vibali vya ukazi

    kauli za uzushi kama hizi ndizo zilizo sababisha mauaji ya kimbari huko Rwanda alotoa mada na mliochangia msitie mafuta kwenye moto hamna sababu .
  2. S

    Ni aibu mbunge kutojua lugha ya kingereza

    mbona tukienda china hata wanajua kiingereza kiserikali au kwa jambo muhimu wanazungumza lugha yao nachi nyingi lugha zao ndio zinaopwa kipaumbele .kasumba ya lugha za kigeni haipeleki nchi kwenye maendeleo .kwanza tumepitwa na wakati bunge na mahakama kutumia kiingereza ni ushamba na...
  3. S

    Tanzania turudishe majeshi yetu nyumbani Haraka

    wache wacheze na Taifa kubwa sie kwenda mbele bila hofu tumeweza kutetea maslahi ya tanzania popote ya lipo chui habadili ngozi yake waelewe hivyo .poleni mliofiwa na jamaa zenu huko darfur mungu awape malazi mema .janjawid wanamtia mgonjwa wa akili pilipili za macho zimeanza kutuwasha sasa...
  4. S

    Muundo huu wa Muungano utatuumiza sisi Wazanzibar!

    leo nyama ya kasa imechinjwa na kuliwa wazi wazi mambo nje nje.naona wale wanaofurahia rasimu watulie na w wanaotafakari kwa kina wazidi kutafakari .kwa uzoefu wangu ikiwa itakubaliwa rasimu sehemu zote za TZ zitapata hasara ingawa zinatofautiana ukubwawa hasara hiyo .natoa mfano tu maskini...
  5. S

    Msuya anatibiwa hospitali ghali ya kifalme Uingereza

    jamani mwacheni mzee apatiwe matibabu ametoa mchango mkubwa kwa taifa hili .pia hata anaweza tu kuweko hospital hiyo watoto wake hasa yule binti yake ambae nilipashwa kuwa ni muwakilishi wa benki ya dunia nchi moja asia basi insurance aneimudu kumshuhulikia mzee wake .mbona watu wakipeleka...
  6. S

    Hoja ya "Muungano wa Mkataba" ni Muflisi!

    ndugu zangu naona maandiko mengine yako kwenye hasira hebu tupowe .masuala yangu ni haya aliionyakua uhuru wa zanzibar nani mwaka 1963 ,ni wapinduzi wa afro shirazi sawa .pili tukiwa tunasemaserikali inayotambuliwa ni ipi ya 63 au ya mapinduzi halali ya afro shirazi .tatu wengi tushachoshwa na...
  7. S

    Hotuba ya Karume ndiyo thabiti zaidi na yenye manufaa kwa CCM ya leo na kesho!

    tumwagieni na akina sisi hiyo hotuba ya vichwa vya samaki tuko mbali na dodoma :fish:
  8. S

    Kushindwa Kwa Romney: Nini Sababu?

    romney kashindwa kwa mambo mengi lakini kubwa ni kuwa sera zake hazikuwavutia wapiga kura ,amefuata siasa katili ya republican ya ubepari mkali bila ya kuzingatia wananchi wanaoumia kwa muanguko wa uchumina kuwafagilia mabilionea na trilionea wazidi kutesa bila ya kulipa kodi stahiki na walala...
  9. S

    Umoja mpya wa Vijana CCM (UMVCCM) ulioasi UVCCM sasa kutikisa nchi, Kuja na 'CCM Halisi'

    Mh jee mtakuwa akina tea party ambayo iko njiani kufa au new labor ya Tony blair (UK) ilioishi na imepotea acheni hasira fanyeni uchambuzi wa kinapoleni vijana wetu
  10. S

    Tanzania wanataka kununua umeme Ethiopia

    mazuri hayo ,mnashangaa kununua umeme ethiopia tusishangae kwani serikali ya ethiopia ina mipango ya muda mfupi na mrefu inaosimamiwa kwa uadilifu na inapimwa kwa utekelezaji wa ufanisi,serikali haipangi kwa kupata political gains ambazo mara zote huwa za muda mfupi .vilevile katika mipango ya...
  11. S

    Maalim Seif: Jussa ni jembe

    haha ukweli ukidhiri uongo hujificha tutaona mengi ,kuishindikiza serikali ya umoja kufanya nini vile?mama nafa
  12. S

    Hisa za Zanzibar katika Benki Kuu: Je, SMZ imewahi kuipa ruzuku BoT?

    Hii hoja ya leo imejaa ushabiki ningeomba Mzee Mwanakijiji na wote waliotajwa wafanye utafiti wa kina kuhusu kuanzishwa kwa BOT maelezo yako wazi na hiyo asilimia 4 imefikiwa vipi. Pia SMZ kama wanapewa pesa na BoT kulipa mishara huo utakuwa ni mkopo kama wanaopatiwa SMT. Kama ukweli...
  13. S

    Nchi imemegeka pande mbili!!

    kila siku tuna himiizwa kuvumiliana katika mambo ya kidini ,katiba yetu imetoa uhuru wa kuabudu kwa kila mtu ndio maana hata wapagani na wanaoabudu mizimu ya mababu na majadi hawa sumbuliwi ruhusa mara nyingi nimeona watu wazima na dini zao zilizotukuka bado wana endelea na kuamini mizimu...
  14. S

    Kiongozi hapaswi kuwa mtu wa kulialia—Lowassa

    haha na mie na pita tu sasa na wale jamaa zangu wa ukanda wa pwani na wanao tegemea maisha yao kwa uvuvi katika ukanda huo ambako maeneo yao ya dago yameuzwa kwa wawekezaji inabidi waombe katiba mpya iwalinde ,ila nataka kusema tu viongozi wetu tupendekeze katiba ituweke pamoja na sio...
  15. S

    CCM Zanzibar yasisitiza wazanzibari wasiokubali muungano uliopo warudishe kadi za chama!

    namie na pita kidogo kwani nimeguswa na mada hii .pongezi kwa Bw balozi Seif Iddi Makamo wa pili wa rais huo ndio ukweli kwani ingawa wananchi wakiwemo wana CCm wanauhuru wa kuchangia lakini ukiwa kiongozi uliotokana na chama CCM chenye msimamo wa kuendelea na mfumo huu na baadhi yao walikuwmo...
  16. S

    Mapinduzi ya Zanzibar yako hatarini.. Wazanzibari wamelala...

    mwanakijiji maelezo yako huwa sahihi kwakiwango kikubwa ila nasahihisha hili la majeshi .kwani JWTZ ni pamoja na hao wazanzibar ndio likaitwa hivyo na pia wanajeshi wa upande huo wameshiriki kikamilifu kuilinda Tanzania ikiwemo vita vya uganda na pia vya msumbiji hivi vya renamo nimeona kwa...
  17. S

    Zanzibar mpaka kieleweke!

    nyie mnaotaka zanzibar yenu ya jamhuri hamuelewi chochote mnafuata mkumbo mtakuja kulia machozi ya damu wakati mnataka bara mliokuwa mnaibeza haipo tena ,nyie ndugu zetu wa zanzibar na hasa wa pemba mnaokwenda kununua michele madibira na kilombero bila ya vibali vya export mmtajijua na wengi...
Back
Top Bottom