jamani kama alivyosema mwenzangu hapo juu kama unafahamu kasoro iseme basi ukizunguka unakuwa hautusaidii kwasababu lengo la kuanzisha thread ni tusaidiane kwa unachokifahamu
wakuu heshima kwenu naomba nisaidiwe nimekwama kidogo nimekuta choices zangu ziko vilievile pamoja na capacity zake na sijaona sehemu ya kuconfirm msaada tafadhali
kinachoonekana hapo ni mambo mawili either ni siasa au kukosekana taarifa sahihi za jambo hili kwasababu barua ya trh 28/05/2015 inaelekeza kwamba KIU iendelee kutoa kozi zote zinazolalamikiwa ILA mwanafunzi atakapohitimu INATAKIWA aripoti TCU ambako atapewa utaratibu wa kwenda kwenye baraza la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.