Search results

  1. TangaNyika_TZ

    Swali la kizushi : Wagombea kubaki ndani ya vituo vya kupiga kura???

    Wadau, Kwa heshima na taadhima naomba maoni yenu kwenye hili pia. Je wagombea wa vyama wanaruhusiwa kubaki ndani ya vituo vya kupigia kura baada ya kupiga kura zao? Na je wanaruhusiwa kuwepo kwenye kuhakiki kura kama mawakala na wasimamizi?? Nawasilisha.
  2. TangaNyika_TZ

    UOGA WA USILOLIJUA - mkutano wa UKAWA

    Naomba tujaribu kutumia busara na hekima katika hili suala, baada ya kutafakari kwa muda, inaonekana kuna namna watanzania tunatawaliwa na chama tawala tena kwa mbinu za kisaikolojia. Ni kweliiiiiiii???
Back
Top Bottom