Search results

  1. yanga bwana

    Mkapa na makongoro nyerere acheni siasa za kupandikiza chuki

    Hakika nimeshtusa sana Na kauli zilizotolewa Na Rais mstaafu Mkapa za kuwatukana watanzania kuwa ni Wapumbavu Na Malofa.Ukweli Mzee Mkapa kama kiongozi Wa taifa hili hakustahili kuonyesha chuki binafsi kwa watanzania. Kila mtanzania ana haki ya kuamini kuabudu chama atakacho Na pia kujiunga au...
  2. yanga bwana

    Ilani ya ccm 2015 ni pamoja na kuwatukana wapiga kura

    Sasa nimeamini kuwa CCM kichaa kimepanda.Ni vigumu kuamini kuwa Rais Mstaafu Mkapa anaweza akapanda jukwaani kumnadi magufuli kwa kutukana matusi .Inabidi tuamini kuwa matusi yamo katika ILANI ya CCM ambayi Magufuli ataitumia kuwatukana watanzania ambao ni wapiga kura.Ombi kwa vyama vya upinzani...
  3. yanga bwana

    CCM: Haina haja na kura za watumishi

    Watumishi Wa Serikali nadhani mnaikumbuka kauli ya mgombea uraisi Wa CCM alisema hana Baja Na kura za watumishi.Uthibitisho wake in pamoja Na kushindwa kuwapa mafao bora hao watumishi pia kutowapandishia mishahara yao hali ambayo imekuwa kero on a wao viongozi Na wabunge walivyoboreshewa maslahi...
  4. yanga bwana

    Malori ruksa kubeba watu kwenye kampeni za CCM

    Nakumbuka Jeshi la Polisi lilipiga marufuku wananchi kupelekwa kwenye mikutano ya kisiasa kwa kutumia malori .Cha ajabu idadi kubwa ya malori yamekuwa yakibeba Na kushusha watu maeneo ya jangwani kwenye uzinduzi Wa kampeni za CCM ili kujaza watu.Ushauri kwa Jeshi la Polisi kama CCM wameruhusiwa...
  5. yanga bwana

    CCM kubandika picha za Magufuli kwenye kuta za vyoo ni kumtangaza?

    Hakika nimeshangazwa sana na Viongozi Wa CCM kutawanya Picha za Magufuli na kuzibandika sehemu mbalimbali ikiwa ni pamoja Na kwenye KUTA ZA VYOO. Kitendo hicho nimeshindwa kukielewa kama no kumtangaza au kumdhalilisha .Picha hizo zimebandika katika vyoo vya Shule ya msingi Kalimi . Hali...
  6. yanga bwana

    Masikini wa Tanzania amkeni, Lowassa ndio mkombozi wetu

    Hivi ndivyo hali ilivyo.Ni jambo la ajabu kuona watoto Wa masikini waliosoma kwa shida kubwa ndio wamekuwa mstari Wa mbele kuishabikia CCM chama ambayo huo umasikini wao kimeuleta.Watoto hao maisha yao Na ya wazazi wao ni duni kule kijiji lakini badala ya kujikwamua Na hali hiyo wao wamebaki...
  7. yanga bwana

    Zomea zomea ni tabia ya wabunge wa CCM bungeni

    Ama kweli sasa yametimia .Tabia ya kuzomea ni tabia iliyoanzishwa Na WABUNGE WA CCM.Wabunge hao wamekuwa wanawazomea kwa nguvu zote wabunge Wa Upinzani hivyo Tabia hii imeanzishwa Na CCM.Kwa sasa kutokana Na kuchoshwa Na Ufisadi Wa viongozi Wa CCM Na Serikali yake Wananchi bila kujali itikadi...
  8. yanga bwana

    CHADEMA chonde chonde chaguo la wananchi liheshimiwe

    Viongozi Wa juu aa CHADEMA Tafadhali sana msiwachukize wanachama kipindi hiki cha uchaguzi kwani hatutakiwi tupoteze wapiga kura tunatakiwa tuongeze wapiga kura. Kitendo cha uongozi Wa juu kuondoa majina ya wagombea waliopitishwa na wanachama hakifai tuheshimu matakwa yao. Mrudisheni mgombea Wa...
  9. yanga bwana

    CCM miaka 54 ya utawala wake ilikuwa haizijui shida za watanzania

    Ni jambo la kuchekesha Na kushangaza kwa Mgombea Uraisi kwa tiketi ya CCM kuwadanganya Watanzania eti anazijua shida za watanzania LEO.Shida za watanzania zilijulikana kabla Na baada ya Hayati Mwl Nyerere kutukomboa Na tokea hapo TANU imekuwa madarakani mpaka CCM inazaliwa Na shida...
  10. yanga bwana

    Wasomi wetu hasa vijana hebu wasaidieni wananchi kuujua ufisadi uliofanywa ktk nchi yetu na wahusika

    Ni imani yangu kuwa nchi yetu kwa sasa INA vijana wasomi ambao ni tegemeo la taifa.Naamini wao ndio wanastahili kutuongoza wananchi kujua mambo mengi ya taiga letu hususani masuala la uchumi Na yote yanayoweza kumletea mwananchi ustawi ktk maisha.Nchi yetu ni tajiri INA raslimali nyingi sana...
  11. yanga bwana

    Magufuli na falsafa ya "sitawaangusha"

    Watanzania mgombea uraisi kwa tiketi ya CCM Bw.Magufuli ana kamsemo eti "SITAWAANGUSHA" nachukua nafasi hii kumkumbusha aliyotuangusha ili akili kuwa kweli alituangusha Na asipofanya hivyo HATUFAI 1. Uuzwaji Na ugawaji Wa Nyumba za serikali Mali ya watanzania wote. 2. Ununuzi wa meli chakavu...
  12. yanga bwana

    Miaka 54 ya ccm ahadi zile zile zisizotekelezeka tumechoka

    Watanzania hakika tumechoka kudanganywa kama watoto wadogo Na viongozi Wa chama cha Mapinduzi kila wakati Wa Uchaguzi kwa kutoa ahadi zisizotekelezeka Na za uongo kwa nia ya kupata kura hakika HATUDANGANYIKI. Mwaka 2005 Watanzania tuliahidiwa MAISHA BORA KWA KIKA MTANZANIA matokeo yake ni Maisha...
  13. yanga bwana

    Ccm kumvua nyadhifa zote za chama na serikali anna tibaijuka

    Hakika CCM imeushangaza umma kumpitisha kugombea ubunge Anna Tibaijuka MTU ambaye anakabiliwa Na tuhuma za kujipatia fedha za Escrow.CCM hiyo hiyo ilimvua nyadhifa zote Mama Hugo kwa madai ya kukiuka maadili ya chama Na uongozi.SWALI he kitendo cha kumpitisha kuwa mgombea kinaashiria ana maadili...
  14. yanga bwana

    ITV mbona mnafanya upendeleo kwa CCM?

    Kituo cha ITV leo kimeushangaza umma wa watazamaji wake kwa kitendo cha kutangaza habari za chama kimoja wakati matukio ya vyama vyote yanafanana. Tunapenda kuuambia uongozi wa ITV utambue kuwa vyama vyote vina haki ya kutangazwa habari zake ili Watanzania waweze kuzipata. Ni imani yetu kituo...
  15. yanga bwana

    Eti magufuli kapatika kwa mapenzi ya mungu jamani yaliyotokea dodoma kwenye mchakato nayo ni ya mun

    Jamani jamani katika mkutano Wa magufuli Na wanaccm Wa mkoa Wa Dar es salaam Leo, kiongozi mkuu Wa ccm akiwahutubia wana ccm wenzake amemtolea sifa lukuki bwana magufuli ikiwa in pamoja Na kuwa hali rushwa .akijibu hotuba hiyo magufuli amejitapa kuwa hajawahi kushindwa Kazi yoyote hapa...
  16. yanga bwana

    CCM watanzania hatudanganyiki tumechoka na ahadi hewa nyie mnagawana hela za escrow

    Jamani hivi hiki chama cha mapinduzi CCM mbona kimetung'ang' ania watanzania?Tumechoka tunataka mabadiliko miaka 54 maisha ni Yale Yale ya shida Na dhiki? Viongozi Wa CCM Na Serikali maisha yenu in kama Peponi kwani mmekalia kuiba raslimali Na tunu za watanzania pia kuchota Hela za umma kama...
  17. yanga bwana

    Viongozi wa dini zote mwogopeni Mungu kwa kusema ukweli, ufisadi wa Tanzania umesababishwa na nani?

    Ni dhahiri nchi yetu haina dini ili wananchi wake wana dini zao.Pia hakuna ubishi viongozi wa dini wana nafasi kubwa kulea roho za watanzania katika maadili yakumpendeza mungu. Viongozi wa dini ni sehemu ya watanzania hivyo kila kinachoendelea hapa nchini nao wanakiona. Watanzania tumekuwa...
  18. yanga bwana

    Kwanini vijana wa ccm wanamtukana lowassa na kumpiga makofi warioba viongozi walioliongoza taifa h

    Hakika ni jambo la kushangaza sana kuona baadhi ya vijana Wa ccm kina Nape Nnauye Na Paulo Makonda wanawakosea heshima viongozi hao kwa kuwatukana Na kuwapiga makofi.Watanzania tuna paswa kuwakemea kwa nguvu moja ili vitendo vya aina hiyo visiendelee kutokea kwa vijana wengine.Hao bado wanapaswa...
  19. yanga bwana

    Humphrey Polepole mbona utajiri na ufisadi wa Magufuli huusemi au kwa kuwa yuko CCM?

    Nilitegemea Mchambuzi au mwanaharakati Humphrey Polepole angeuambia umma juu ya utajiri Wa Magufuri.Magufuri ana Nyumba za kutosha hapa nchini Nyumba ambazo in kama amejipa kwani Wizara yake ndio imegawa Na zuri zaidi zimegawiwa hata kwa wasio watumishi Ndugu marafiki n.k.Magufuri amejengea watu...
  20. yanga bwana

    Ilani ya CCM 2015 eti kuondoa umasikini kwa miaka 5 na jembe lamkono mwisho kila mkulima trekta

    CCM imeamua kuwadanganya wapiga kura kuwa Ilani yake ya 2005-2015 ya maisha bora kwa kila mtanzania imetekelezwa kwa asilimia 70 Na 2015-2020 ilani yake ni kuondoa umasikini Na jembe la mkono kwa wakulima Na kupewa matrekta. Maneno hayo ameyasema Waziri Stephen Wasira Leo mjini Musoma wakati...
Back
Top Bottom