Search results

  1. K

    Afukuzwa kazi kwa kunuka mdomo

    Mbona hilo ni tatizo dogo tu ? Kama kuna mwingine mwenye tatizo hilo Awe anakata kipande cha Tango anaweka mdomoni wakati wa kulala kinakaa hadi asubuhi baada ya siku 7 tatizo litaisha na ajitahidi kila akipiga mswaki asugue ulimi
  2. K

    TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

    Duh. Kuna nini ? Mkangara alisema Lowasa ni mgonjwa Akafa yeye,Mtikila alisema Lowasa ni mgonjwa Amekufa yeye, bado wengine kama 3 wanaomsakama lowasa kwa ugonjwa na ni bahati Mtikila aliondolewa kwenye kinyang,anyilo cha Urais muda huu uchaguzi ungehairishwa hadi January 2016
  3. K

    Nimekutana na binadamu wa ajabu alfajiri hii

    Hiyo rangi nyekundu umeigunduaje kwenye giza ? Au ulikuwa na tochi ? Bora ungesema rangi nyeusi
  4. K

    Wa-vietnam kuwekeza Trillioni tatu kipindi cha uchaguzi!

    ni za hao hao Wavietinam wana kampuni ya simu inaitwa halotel wataizindua mwezi wa october ,rangi ya logo yao ni karoti
  5. K

    Picha:juzi Vincent Nyerere aiteketeza CCM kata ya Rwamlimi

    na wala si fiesta kama ya mafunguo aliyofanya bk leo
  6. K

    Magufuli: Saddam alikuwa rais wa Kuwait!!

    Pia ameishasema yeye sio mwanasiasa ni mtendaji
  7. K

    Mmhh tumekwisha sasa!

    kuwa na watoto wachache au wengi ni tofauti na kuwa na watu wachache watazalisha kidogo na kulipa kodi kidogo kuliko ukiwa na watu wengi wanazalisha saana na serikali inakusanya kodi kwa wingi na maendeleo yanapatikana kwa mfano angalia China ni ya kwanza kuwa na watu wengi duniani lakini...
  8. K

    Uhusiano wa Lowassa na Kikwete na hatma ya CCM

    Kikwete anampigia lowasa kampein,au Lowasa na Kikwete bado wana uhusiano,au ni ipi kauli ya Kikwete kuhusu Lowasa
  9. K

    UCHAMBUZI: Hesabu za kura kwa Magufuli zinakataa kabisa.

    Magufuri atashindaje wakati ameishakiri kuwa yeye sio mwanasiasa ?
  10. K

    Mkikimkiki: Mdahalo wa elimu na afya kwa vyama vya siasa

    Pia kuna wakati amesema watanzania wanazaliana sana je hii kauli ni sahihi ?
  11. K

    Halima Mdee akimbia mahojiano Star TV

    Kanisani kwanza ,star tv baadae maana hao wote walihudhuria leo wanasali ijumaa
  12. K

    Rais Kikwete anategemea kusafari kwenda New York

    Na ndio maana hata Magufuri alimsifu na kuwaambia watu wa Morogoro kuwa Mafisadi na majizi ndio wametufikisha hapa tulipo
  13. K

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Fanyeni mazungumzo na Benki ya NBC nao wajiorodheshe kwenye mpango wa MOBILE BENKING ili mteja wa mpesa aweze kubenk au kutoa pesa kwa kutumia simu yake
  14. K

    Hatimaye Lowassa amekubali kushindwa

    Tupe mfano wa mkutano wa Lowasa uliohairishwa
  15. K

    Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

    27.Kama Bunda hakuna maji ninyi watu wa hapa dawa mnamezea nini ? (Wasira) ameitoa jana kwao Bunda
  16. K

    Nakusudia kumshitaki GWAJIMA kwa kutengeneza ujumbe fake wa kumkashifu Dr. Slaa

    Umuulize kwanza Dr Mihogo kama kweli hiyo sms ni kwake ?
  17. K

    Special thread: Kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA/UKAWA nchi nzima kuelekea 25 Oktoba, 2015

    Hakuna shida yoyote Lowasa Kusema ccm hoyee kwa maana anajua kabisa kuwa wanaccm walio wengi watapigia kura
  18. K

    Nini siri ya kiapo kikuu cha Upadri? Tazama mwisho wa Askofu Millingo, Askofu Lukanima...

    Uko sawa na Magufuri alifukuzwa Katoke Seminary Biharamuro akiwa kidato cha tatu 1978 akahamia Lake Sekondari Mwanza
  19. K

    Magufili nashindwa kukuelewa, hivi unapo ponda yaliyofanywa na CCM unataka sisi tufanye nini?

    umesahau juzi tu amenunua Mv Dar es salaam kwa sh 8blm wakati ni cha 1978 na thamani yake ni 3bln
Back
Top Bottom