Search results

  1. M

    Mh. John Magufuli akipokea Malundo ya Kadi za CHADEMA baada ya kuisambaratisha UKAWA

    Kuna jamaa mmoja naishi nae kitaa kila mkutano mkubwa wa CCM ukifanyika yeye anarudisha kadi ya CHADEMA tulipo mgundua akadao kwamba hiyo ndo life staili yake inayomuweka mjini
  2. M

    Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

    Twendeni tukakeshe jangwani leo ccm siwaamini. Wanaweza kuwatuma majizi yaje kuiba
  3. M

    Kibwagizo Cha Kumnadi Mgombea UKAWA Kuwaweka Wengine Katika Wakati Mgumu

    Usinywe pombe hii dawa ni kali sana mtaumia bure
  4. M

    Uchaguzi Mkuu 2015: Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) yakataza kurusha chopa bila kibali

    Mtanyooka tu ccm mmeaza kukata roho ndo maana mnahangaika
  5. M

    CCM A na CCM B, mkae mkao wa kuliweka Taifa kwanza!

    By by ccm ila inawauma jmn watu wa ccm A
  6. M

    Mtu mzima ukijiingiza kwenye chandimu usilalamike kupigwa matobo na kuvishwa kanzu

    Green gurd ruksa, matus ruksa , nje ya muda wa kisheria ruksa, nk wajibiwe wasijibiwe
  7. M

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Hao watu ni wa ukawa waccm ni wale wenye jezi tuu
  8. M

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Hi kali marehemu tena mnavituko Mmefanya huyu jamaa kakimbia na update zake
  9. M

    Huyo ndio Lowassa anaeinyima usingizi Kikwete na CCM yake

    Bado warioba hadi mpoteane maana zarau zilikuwa nyingi sana
  10. M

    Kikwete Kupoteza Waziri wakuu wawili kwa mpigo ni aibu kubwa sana kwa utawala wake!

    Bunge lilivunjwa trh 20/8/2015 kupitia mgzt ya serekali kwa mujibu wa katiba
  11. M

    Asante sana Shamsa Ford, UKAWA tusonge mbele

    Sasa miaka 50 toka uhuru hv kweli ccm watatuambia kitu gn kipya kabisa ili wananchi tuwaelewe na watakifanya ndan ya miaka 5
  12. M

    Lowassa: Mabadiliko tunayoyataka yanapatika CCM

    Wafuasi wa CHAMA CHA MATAILA HAO TUWASAMEHE BURE HAWAJUI WALITENDALO
  13. M

    Nimegundua kuwa wanachama wengi wa CCM hawajitambui

    Ccm kitakuwa chama cha upinzani mwaka huu tena chenye wabunge wachache sana kuliko kawaida
  14. M

    Ccm naombeni mnishawishi niwachague tena 2015

    Mfn. Ata ungekuwa ww mwenyewe ndo kiongoz mkuu wa ccm UNGEJIBUJE? Jumba bovu wamemtupia Mapombe na kumbebesha gunia la Mavi ambalo limechanganywa na Misumali namuonea huruma ndo maana anaishia kuiba ALIMSELEMA ....
  15. M

    Mgombea ubunge Nanyamba kupitia CUF ashindwa kurudisha fomu, CCM wapita bila kupingwa

    Huyu jamaa. Njaaa kali sana haya majitu ya pesa tutegemea wagombea wengine kuuza majimbo INAKERA SANA
  16. M

    Kwa hili alilolifanya Diamond, litamgharimu sana katika safari yake ya kimuziki

    Ajiandae kusaulika kama Marlow .watu wanafikilia kila pesa ni halali yao nyngine ni pes fake ukichukua tuu jera inakuhusu bor ata angekuwa neutral ili kumaintain status yake
  17. M

    Mgawanyo wa Majimbo: CHADEMA waivuruga UKAWA Mtwara

    Hao jc ys kushughulika nao ni kuwanyanganya kadi tu za chama nchi hairuhusu kuwa na mgombea binafsi wanakuwa wamepoteza sifa wenyewe
  18. M

    Mkutano wa ACT - Wazalendo kuhusu Mgombea Urais, Prof Anna Mghwira kuwa mgombea

    Hivi huyo mama angegombea na mgana mzindai pale singida mjn angepata kweli? Tuweni wakweli HAWA NI MASTERS OF FAILURE
  19. M

    Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

    Lowassa anatosha na change inabaki
Back
Top Bottom