Search results

  1. Phack

    Mayai ya Kisasa Yanapatikana

    Habar Wakuu Mayai ya kuku wa Kisasa Yanapatikana kwa bei 7000/= site ( Site yetu ipo KITUNDA) ni mpya na mzigo tunazalisha Wenyewe but kwa wale wa maeneo ya Mbez beach maeneo ya karib Yanapatikana Bonden 7500/=. Hizi bei zetu n fixed 7babu Chakula cha kuku kimepanda sana that's bei nazo zikapanda.
Back
Top Bottom