Search results

  1. A

    Hatimaye Rais Magufuli kumwajibisha waziri Charles Kitwanga

    Kweli kabisa mkuu. Ukiona mtu anaandamwa sana chunguza kwa makini. Wale mawaziri ambao wako serious wana andamwa sana na shutuma. Hii yote ni kwa lengo la kuwavunja nguvu. Naamini Rais Magufuli anawaelewa vizuri mawaziri wake na hawezi kufanya maamuzi kwa kukurupuka.
  2. A

    Hatimaye Rais Magufuli kumwajibisha waziri Charles Kitwanga

    Kazuia mianya ya kuingiza sembe. Hali ngumu sana sasa.
  3. A

    Hatimaye Rais Magufuli kumwajibisha waziri Charles Kitwanga

    Team Dau na team sembe kazini. Mwaka huu povu litawatoka. Mlitaka Dau abakie NSSF milele? Eti Kitwanga alihusika kuvunja bodi! Sasa hivi hela za sembe hakuna. Hamieni Uganda au SA
  4. A

    Magufuli ataendelea kumlinda Waziri Charles Kitwanga mpaka lini?

    Jamani nyie wauza sembe sasa tumewachoka. Kila kukicha ni tuhuma za kumchafua Waziri wa Mambo ya Ndani. Sasa hivi mmedhibitiwa mnahaha kila kona. Hivi kwa akili yenu hata Waziri akijiuzuru mnadhani mtapeta tena kama enzi zile? Leteni tuhuma zenye ushahidi basi. Hivi mnaona Magufuli ni mtu...
  5. A

    Charles Kitwanga atajwa kuhusika na kashfa ya ufisadi katika Jeshi la Polisi ya sh. bilioni 34

    Hivi Magu kuwa na urafiki na Kitwanga ni kosa? Na nyie tafuteni marafiki wa kufa na kupona basi.
  6. A

    Charles Kitwanga atajwa kuhusika na kashfa ya ufisadi katika Jeshi la Polisi ya sh. bilioni 34

    Sawa funza. Utafurukuta sana lakini Kitwanga anawanyima usingizi. Na nimtetee kwa lipi? Hayo ni maneno tu na yatapita.
  7. A

    Charles Kitwanga atajwa kuhusika na kashfa ya ufisadi katika Jeshi la Polisi ya sh. bilioni 34

    Comments nyingi zimejaa wivu tu na chuki. Huyo Kitwanga anawanyima usingizi.
  8. A

    Kamanda Sirro atakuwa bonge la IGP

    Kwenye ukweli lazima tuwe wakweli. Kamanda Sirro yuko makini sana. Si mkurupukaji. Binafsi namuombea sana katika utendaji wake.
  9. A

    Waziri Charles Kitwanga & Vicky Kamata wanahusika kwenye ufisadi wa kulipwa BOT kwa miaka 6

    Chuki binafsi. Kitwanga wa watu hana maneno na mtu.
  10. A

    Waziri Charles Kitwanga & Vicky Kamata wanahusika kwenye ufisadi wa kulipwa BOT kwa miaka 6

    Ni majungu tu. Siku hizi JF imegeuka kijiwe cha watu kuleta umbea.
  11. A

    Waziri Charles Kitwanga & Vicky Kamata wanahusika kwenye ufisadi wa kulipwa BOT kwa miaka 6

    We Frank U. Acha umbea wa kike. Kitwanga alisema wapi? Chuki binafsi
  12. A

    Tanga: Trafiki aliyeomba rushwa achukuliwa hatua

    Kama wananchi wake walimchagua serikali ifanye nini? Walaumiwe hao waliomchagua. Na pengine walimchagua kwa sababu anatoa msaada huko kwao.
  13. A

    Tanga: Trafiki aliyeomba rushwa achukuliwa hatua

    Leteni picha zao wote watachukuliwa hatua. Sasa kama mnaishia kusema bila ushahidi mnataka nini kifanyike? Huyu kakamatwa hakuna sababu ya kumwachia. Iwe ni fundisho kwa wengine.
  14. A

    Rais John Magufuli afanya Ziara ya ghafla kwenye Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI)

    Angefanya hayo kabla ya kuwa Rais na waziri wa fedha/afya angefanyaje?
  15. A

    Rais John Magufuli afanya Ziara ya ghafla kwenye Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI)

    Mmezoea kulalamika na nyie. Mlitaka aende na matarumbeta ndio sawa? M4C. Magufuli 4 Change. Na asiyataka aseme wazi tuone
  16. A

    Rais John Magufuli afanya Ziara ya ghafla kwenye Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI)

    Watanzania tuache Uccm na Uukawa Kwa wale ambao hamkumtaka Magufuli hamna option. Sasa ni Rais wa wote. Tumpe ushirikiano. Akifanya kitu lazima mje na negative opinions. Why? Tuwe positive jamani. Au mlikuwa mnataka mabadiliko gani? Muacheni Magufuli afanye kazi sasa heh!! Huyu baba ni chaguo...
  17. A

    Lowassa ana bahati sana, sababu Magufuli hafai

    Acheni kutapa tapa. Tusubiri tar 25
Back
Top Bottom