Search results

  1. B

    Shule zote za mkoa wa Simiyu kutumia chaki zinazozalishwa Maswa Tu.

    Mkuu wa mkoa wa Simiyu ametoa agizo ambalo ni amrikwa kila shule kutumia chaki zinazozalishwa na "project" iliyoasisiwa na mheshimiwa huyo.Kijiografia mkoa wa Simiyu ni miongoni mwa mikoa yenye idadi kubwa ya shule kwa mikoa ya kanda ya ziwa.Agizo la mkuu wa mkoa linakuja kipindi ambacho...
  2. B

    Kuhamia Dodoma 2020 nini dhamira hasa?

    Wakati bunge likihairishwa jana kati ya habari kuu ilikuwa ni suala la kuhamia Dodoma kama makao makuu ya nchi. Safari hii tuliyoingoja kwa miongo takribani miongo mi4 hatimaye sasa tushafanya booking tayari kuianza ila tutaenda kwa 'mafungu'. Nini hasa sababu ya uondokaji huu wa mafungu...
Back
Top Bottom