sasa unataka akuletee maji wewe ambae hukumchagua? ulie mchagua means manifesto yake umeikubali basi dai alivyokuahidi! unataka umchague mbunge wa chadema alaf unataka utimiziwe yaliyo ahidiwa na ccm unaakili au matope
Ebu fkiria wa marekani kumi wamekuja Tanzania kutalii au kibiashara (kwa sababu anga la TZ liko open kwa kila nchi), siku moja wapande KQ au ndege yoyote kutoka TZ kwenda Kenya wakiwa na watanzania kumi wakifika Airport wamarekani wanaruhusiw kuendelea na shughuri nchini kenya kwa sababu...
Namba kubwa ipi hiyo Tanzania inawasanii zaidi ya 200 kwenye main stream hao wengi waliokuja kuoa Kenya wanafika wangapi? Wakizidi kumi mimi natembea kwa mguu mpaka kibera toka Dar es Salaam.
wakenya bwana akiskia kiswahili kinasifiwa unataskia sisi ndo huongea kiswahili kizuri na kiswahili imeanzia kenya ila kiswahili kikiwa na tatizo utaskia hii lugha bwana and blah blah kibao kitu kizuri chenu nyinyi kiliwa kibaya sio chenu
Sent using Jamii Forums mobile app
wakenya bwana akiskia kiswahili kinasifiwa unataskia sisi ndo huongea kiswahili kizuri na kiswahili imeanzia kenya ila kiswahili kikiwa na tatizo utaskia hii lugha bwana and blah blah kibao kitu kizuri chenu nyinyi kiliwa kibaya sio chenu
Sent using Jamii Forums mobile app
hakuna unachojua kwenye sekta ya afya wewe ongelea mambo ya IT ata kama machine yako ingekua na uwezo wa kupima sample 100000 kwa mashine maja kiuhalisia ukiangalia factors za kufikia lengo hilo ni ngumu kuachieve hiyo kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
uwezo wa machine na human resource inayohitajika kufikia capacity ya machine ni hadithi nyingine sasa south afrika kama wanauwezo wa kufanya vipimo 35k kwa siku mbona mpaka sasa wamepima vipimo 70k
huwez kujitamba tuuu vipimo 35k per day lazima upime possibility ya human kufika requirements za...
kuwa na machine inayoweza kupima ata sample laki moja kwa siku na uhalisia ni vitu viwili tofauti kabisa, unafkir ata kama unauwezo wa kupima kwa kutumia rapid test, kuna reality huwez pima hizo test wewe kwa akili zako, kwamba hiyo teknolojia afrika nzima mnayo nyinyi tuu? hakuna nchi ya afrika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.