Kweli jf kuna mabandidu wa uongo nikuwa c amini,hili la misungwi kuwa magufuli kashindwa kuongea ni uongo na maana mkapa anawaita malofa,mm nimeangalia mwamzo mwisho na akamuombea charles kitwanga kura kwa wanamisungwi,kweli ukawa mtakuwa ukiwa
Lembeli nimekuzalau sana nilifkilia ww ni bonge la mtu makini kumbe upo sawa na mbunge wa arusha mjini (lema),mbona safari hii mnachemsha hivi nilikuwa naangalia mkutano wa kafulila kigoma naye kazomewa shida nini ndugu zangu au ndo kifo cha chadema kimefika?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.