Search results

  1. M

    Rais Magufuli anafaa kuwa rais wa Africa

    Dah watu mnamaneno imenifanya nicheke pekeyangu
  2. M

    Rais Magufuli piga marufuku vijana wa Tanzania kwenda kufanya kazi nchi za kiarabu

    Mbona powa tu nipo ulaya napiga box na nimewapatia ajira kibao wabongo mtabaki hivyo hivyo zuia ila bongo kazi majanga
  3. M

    Pasipoti za TZ Bara zapigwa marufuku Zanzibar Heroes

    Mk Mkuu kwenye passport kunasehem imeandikwa pahali ulipozaliwa ukipeleka cheti cha kuzaliwa kama umezaliwa Zanzibar pataandikwa Zanzibar ukipeleka cheti kimeandikwa tabora utajuilikana wewe no mtanganyika ndio tofauti
  4. M

    Pasipoti za TZ Bara zapigwa marufuku Zanzibar Heroes

    Ni Tanganyika hakuna namna mukita jina ndio hilo Tanganyika kwa taarifa zaid mscotish hachezi England passport in ile ile UK
  5. M

    Mgogoro CUF: Prof. Lipumba amsimamisha kazi Maalim Seif, amteua Magdalena Sakaya kukaimu

    Nani mtoro makao makuu ya cuf si yapo mtendeni Zanzibar au nimekosea?
  6. M

    Vipigo vya Machinga Mwanza ni kama kwa Makaburu

    Kulikuwa na chaguzi tu pale tukapigwa changa la macho ccm wakashinda kwa kishindo
  7. M

    Manji atakiwa kuripoti Ofisi za Mamlaka ya Uhamiaji. Pasi 126 za kusafiria zakamatwa ofisini kwake

    Wache ccm wanajuwana hao muda wote uhamiaji wapo wapi wasijuwe kuwa kunawafanyakazi wanafanya kazi bila vibali na wao watumbuliwe hakuna namna
  8. M

    Kwanini Manji anaandamwa na huu utawala?

    Wacha chuki za kijinga wewe
  9. M

    Toka Bungeni: Mali mpya za Makonda zatajwa, atakiwa aseme pesa anatoa wapi

    Hahahaha jamaa upo kijijini nn naenda kwa watoto wa Bakhasa utaona Magari yao
  10. M

    CCM Inastahili Kubeba Lawama ya Mengi; Lakini Hili ni Kubwa Zaidi!

    Mkuu tutaendelea Mjomba mpaka kiama chini ya ccm
  11. M

    TABORA: Mkuu wa Wilaya ya Uyui abwaga manyanga!

    Watamsukumia kesi vipi wakati yeye mwenyewe ananunua kesi
  12. M

    TABORA: Mkuu wa Wilaya ya Uyui abwaga manyanga!

    Watamsukumia kesi vipi wakati yeye mwenyewe ananunua kesi
  13. M

    Angalia Data za World Bank; Nani Zaidi - Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli Kwa Uchumi Tanzania

    Hahahaha wakivaa magunia kweli kabisa nchi ilikuwa mbaya hatari kwa mwananchi wa kawaida mlala hoi hatowasahau mwinyi na kikwete Mji Leo umependeza ni kikwete ila kunawapumbavu watapinga
  14. M

    Tetesi: Kifuatacho: Mtafaruku wa CHADEMA na TeamLowassa kuinufaisha ACT Wazalendo, Kafulila kumfuata Zitto

    Kweli mkuu hali mbaya Lumumba hata kazi ya kusafisha vyoo haipatikani
  15. M

    Rais Magufuli atueleze mpango kamili wa ujenzi wa reli ya kati, porojo zisipewe nafasi kamwe!

    Ccm zao zipo wapi ofisi zao? au mnaringia ofisi za umma muliojimilikisha?
Back
Top Bottom