Search results

  1. G

    Elections 2010 Ndio mzee imefika mwisho bungeni...

    Uzuri wote hao wapiganaji wa kupita maelezo.Ukepteni itabidi auchukue kwanza kwa muda Shibuda akiwa na tundu lissu,assistant Mbowe,mjema,mpendazoe.kocha awe ni zito. Mrema haaminiki kabisa,na inaonekana atakua kama John Cheyo.
  2. G

    John Mnyika, Zitto, Tundu Lisu, Mchg. Natse, Godbless Lema, Wenje, Vincent Nyerere

    Asante mpayukaji kwa kujali kwako. Hoja yangu kubwa ipo katika kurekebisha tume ya uchaguzi ya tanzania. Kama umefutailia vizuri, ni zaidi au karibu nusu ya wapiga kura walioandikishwa hawakuweza kutimiza haki yao ya msingi kwa sababu za kisiasa zaidi. Ukiangalia kwa mfano jimbo la kyela, 90% ya...
Back
Top Bottom