Elections 2010 Ndio mzee imefika mwisho bungeni...

komagi

Member
Nov 1, 2010
62
2
hali ya uwanja wa utetezi bungen inaleta raha usipime, jaribu kuvuta picha, huku mnyika, huku silinde, huku g, lema, huku wennje,hukku mh. mrII, huku shibuda,kona hii mbowe, kona ile salakana, kule napokiboko nyerere, huku tundu lissu, huku mdee na wengineo kibaooo........... tupen raha wanyonge wenu
 
Tuko pamoja kaka,sitabanduka kwenye TV muda wote wa bunge!
 
hali ya uwanja wa utetezi bungen inaleta raha usipime, jaribu kuvuta picha, huku mnyika, huku silinde, huku g, lema, huku wennje,hukku mh. mrII, huku shibuda,kona hii mbowe, kona ile salakana, kule napokiboko nyerere, huku tundu lissu, huku mdee na wengineo kibaooo........... tupen raha wanyonge wenu
Mrema-hapo mbele
 
Hapo kwenye red huyo hayuko ndugu Andika Selasini ndo yuko kwenye timu yetu.
 
ILE KAULI YA WABUNGE WA CCM YA NDIO MZEE HATA KWA MAMBO YA KIPUUZI MJENGONI SASA IMEFIKA MWISHO. BAADA YA UPEPO WA KISIASA KUGEUKA SASA BUNGE LITAGEUKA KUWA LULU KWA WATANZANIA MASIKINI BAADA YA KUWA LA NDIO MZEE KWA MASLAHI YA WACHACHE SANA. CCM BYE BYE BYE...........!!?:israel:
 
Uzuri wote hao wapiganaji wa kupita maelezo.Ukepteni itabidi auchukue kwanza kwa muda Shibuda akiwa na tundu lissu,assistant Mbowe,mjema,mpendazoe.kocha awe ni zito. Mrema haaminiki kabisa,na inaonekana atakua kama John Cheyo.
 
Jamani kausheni kwanza tukusanye viti vilivyobaki kisha ndio tuanze kudiscuss hili.
No no nahisi kama nachelewa lets discuss tuu. bungeni kutakuwa si mchezo kwani hata akina Mwkyembe nao wataleta suport kwa wana mapinduzi wapya.
 
Uzuri wote hao wapiganaji wa kupita maelezo.Ukepteni itabidi auchukue kwanza kwa muda Shibuda akiwa na tundu lissu,assistant Mbowe,mjema,mpendazoe.kocha awe ni zito. Mrema haaminiki kabisa,na inaonekana atakua kama John Cheyo.

Mrema anaongeza idadi ya wapinzani, yule kichwani hakuna kitu.
 
huyu salakana kavamia memory yangu kwa umbea wake tu viatu vya hii timu hakuna saizi yake. namaanisha selasin.
 
Mpiganaji Renatus Mkinga naye yuko wapi? Hebu mtafuteni aungane nao wakapiganie bandari, Reli, Air Tanzania na madini yetu atiiiiiiii!
 
Mrema-hapo mbele

Ila huyu haeleweki... this time anatetea serikali hata pasipostahili... I think atakuwa against wapinzani wenzie. Sikutaka Mrema ashinde ila ndo ivo tena wananchi wake wanamwona anafaa.. ana pumba sometimes. Anaweza akaleta kizunguzungu.. Uzuri watu wanaujua uwehu wake.:bowl::bowl::bowl::bowl:
 
Mhhhhhhhhhhhhhh! SHIBUDA NA MPENDAZOE walivyo na uchungu na CCM na serikali yao!!!!!!!!!!!! sijui itakuwaje.:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::doh:
 
Hakuna tena ujinga wakupitisha mikataba isiyo kuwa ya maslai kwa watanzania, hawa CCM walidhani watanzania wako mikononi mwao, kwisha habari yao. Weraaaaaaaa weraaaaaaaa
 
Back
Top Bottom