:israel:Habari zilizotufikia ni kwamba Joseph Mbilinyi aka Sugu hivi sasa ameshinda ubunge katika jimbo la mbeya mjini kupitia chama cha CHADEMA. Sugu ambaye ni mhasisi wa mziki wa Bongo Flava Tanzania tunamtakia mafanikio mema katika kuongoza Jimbo lake na muziki kwa ujumla.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.