MR II SUGU ameshinda ubunge kwa tiketi ya Chadema Mbeya Mjini


N

NkyaR

New Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
3
Likes
0
Points
0
N

NkyaR

New Member
Joined Nov 1, 2010
3 0 0
:israel:Habari zilizotufikia ni kwamba Joseph Mbilinyi aka Sugu hivi sasa ameshinda ubunge katika jimbo la mbeya mjini kupitia chama cha CHADEMA. Sugu ambaye ni mhasisi wa mziki wa Bongo Flava Tanzania tunamtakia mafanikio mema katika kuongoza Jimbo lake na muziki kwa ujumla.
 

Forum statistics

Threads 1,251,150
Members 481,585
Posts 29,759,350