Search results

  1. L

    Mkutano wa CCM Goba: Mgeni rasmi ni Nape Nnauye

    Niko kwenye mkutano wa CCM kata ya Goba Muda huu Nape yuko anahutubia.japo nimechelewa lakini nakusudia kuwapasha. Nape kawatambulisha wale vijana waliofukuzwa chadema. Hiace na malori nayo yanaleta watu kama kawa. Maudhui makubwa naona wanajadili Chadema hususan Dr. Slaa, Mnyika na Mbowe...
Back
Top Bottom