Search results

  1. L

    Japo sikukubali, Lowassa umenifundisha mambo makubwa 08 yafuatayo...

    Umeshaambiwa ujumbe huu ni ule wa Positive tu... Mbona unataka kuharibu uzi huu. Anzisha wako wa negative... Ndugu Chengu Manure ameweka yale aliyoona kwake ni positive na kujifunza kutoka kwa Mgombea huyu. Nasi tunatakiwa tuorodheshe yetu yaliyo positive.
  2. L

    Warembo Viwango Approved By Allien

    Nice selection
  3. L

    CHADEMA Yaigaragaza CCM Mbozi kwenye Uchaguzi Mdogo

    kaka. Nilikuwa Goba nilisikitishwa sana na maneno yaliyotoka kwa mtu anayejiita kijana na ni msomi kuzungumza matusi na personal attacks badala ya kuzungumza ni vipi atajenga chama chake kipya na namna gani serikali inayoongozwa na chama chake kitatatua matatizo ya Goba kama Kituo cha Polisi...
  4. L

    Mkutano wa CCM Goba: Mgeni rasmi ni Nape Nnauye

    Wazee wangu wa Goba wamekasirishwa sana na vijana waliosemeshwa na wazazi wao badala ya kumwaga sera na mipango ya kutatua matatizo ya Goba wao ni kuzungumza tu mambo ya Karatu tu tuuuuu.
  5. L

    Mkutano wa CCM Goba: Mgeni rasmi ni Nape Nnauye

    Niko kwenye mkutano wa CCM kata ya Goba Muda huu Nape yuko anahutubia.japo nimechelewa lakini nakusudia kuwapasha. Nape kawatambulisha wale vijana waliofukuzwa chadema. Hiace na malori nayo yanaleta watu kama kawa. Maudhui makubwa naona wanajadili Chadema hususan Dr. Slaa, Mnyika na Mbowe...
  6. L

    Serikali yatoa waraka kwa vyombo vya habari kutoonyesha namna Bunge linavyoendeshwa kibabe

    What if tukaichangia JF ikaanzisha TV Live on line? Mimi niko tayari kuchangia.
  7. L

    Ndege ndogo ya Kilimoanga yauzwa kwa tshs 500,000/-

    Kwahiyo Utanzania wangu ni Kivutio tosha cha Utalii..... wakenya watatudadi vya kutosha.
  8. L

    CHADEMA kama honeybadger kwa nyoka, na machine za catapiller kwa mlima

    Ndugu Nicholas. Huku nikigonga safari ya sita kusheherekea mbunge wangu kurudishwa kundini umeniacha hoi sana kwa comments zako. Well analysed and concrete samples. Safi sana na nitaendelea kuifuatilia.
  9. L

    Kifo cha CCM kimetimia

    SIR R ULIKUWA SAHIHI KABISA. Ona JK mwenye dhamana ya kudnhibiti rushwa huku akiwa na all resources analia lia badala ya kuchukua hatua kwa mujibu wa sheria tulizojiwekea. This is shame......
  10. L

    Dr. Slaa, Mbowe waweka historia Kilombero!

    Then job is done
  11. L

    JamiiForums: Tanzania's leader in Local Digital Media

    This is my home page now. My budgets for local news paper has gone down dramatically. Thank you JF
  12. L

    Wananchi wazalendo kateni tiketi mapema safari imekaribia.

    kateni ticket faster......
  13. L

    Serikali yaomba madaktari nje ya nchi, BILIONI 200 ZATENGWA KUWALIPA

    Naamini mwandishi kakosea. Serikali makini haiwezi kufanya hivyo. Kwani hakuna asiyejua kuwa mataifa ya nje haswa ya magharibi na Asia yananyemelea utajiri mkubwa tuliokuwa nao ikiwemo mafuta, madini, n.k. Hivyo tutakuwa tumewapa fursa ya kuleta mashushu wao kwa GHARAMA ZA KODI NA MADENI KWA...
  14. L

    Tanzania Now Faces Sanctions & Diplomatic Crisis Over Iran

    Haya ndio matunda ya kuwa Omba Omba.... Lazima tuwe na mtazamo tofauti na taifa letu. Check tunavyodharauliwa, Ranking officer writing to the President of United Republic of Tanzania? I was expecting President Barack Obama and not otherwise... :shetani:
  15. L

    Awamu ya tatu ya mgomo wa madaktari 23 June, 2012

    Ocean Road Hospital!!!! Okhooo my God! Please forgive us for our own weakness! Forgive us for impuissance! Guide us to take right decision!
  16. L

    Warembo Viwango Approved By Allien

    Sifa zimwendee Bwana. Amen<!-- google_ad_section_end -->
  17. L

    Warembo Viwango Approved By Allien

    Sifa zimwendee Bwana. Amen
  18. L

    CHADEMA yavunjavunja ngome ya CCM Same

    Good job, right move,
Back
Top Bottom