Search results

  1. magnet1

    Ridh1 alimwomba baba yake(raisi KIKWETE) amchague masha na akamchagua uwaziri

    majungu matupu, huna data ni chuki tu kama alizokuanazo slaa
  2. magnet1

    Elections 2010 Dr slaa ahudhurie au asihudhurie kuapishwa kwa kikwete kesho

    hawezi kwenda anaogopa kukutana na Usalama wa taifa LIVE kwa uzushi wake, akitia mguu wanakufa nae. SLAA mzushi na mpenda ukubwa Catholic church lilimuandaa tangu mapema juzi pengo kamtosa anamwambia akubali matokeo. nchi ina wenyewe SLAA kitu gani labda akawe rais wa karatu
  3. magnet1

    Elections 2010 CONFIRMED: Joseph Mbilinyi (CHADEMA) atangazwa rasmi Mbunge wa Mbeya mjini

    Acheni uzembe, sasa huyu zero anaenda kufanyanini bungeni au kwakua ni mkristo? Waislam mnataka wasemaje
  4. magnet1

    Elections 2010 Aden Rage Ashinda ubunge TABORA

    Aden Rage ashinda ubunge tabora kwa ticket ya CCM na CCM imecshinda kata 24 kati ya 25 chadema wamshinda kata ya misha
  5. magnet1

    Elections 2010 Matokeo ya uchaguzi Tanga

    iyagilo huna mpango, acha UDINI huo ni ujinga!!!!!!! sisi ni wapenzi wa SLAA lakini hatuweki dini mbele kama unavyofanya kwa ujinga wako na waislam wakiuliza majimbo yote wanayoongoza CHADEMA ni yenye wakristo wengi tena WAKATOLIKI acha uzembe
  6. magnet1

    Elections 2010 JK ndani ya Mwanza kuokoa jahazi la Masha

    thank yo so much "who cares" mimi nimechoka na uzushi wa huyo amigo
  7. magnet1

    Elections 2010 Arusha Mjini: Hali si shwari

    hizi posts inabidi ziangaliwe sasa, mnakuja na story nyingiii za uongo na kutupa mzuka, then matokeo yanakuja tofauti
  8. magnet1

    Elections 2010 Mbowe Ndesamburo waingia Arusha

    its true, Batilda ameshinda
  9. magnet1

    Tanzania Election 2010 Results as per NEC

    are you poor in mathematics or what? hizo perentage mbona ni 113?
  10. magnet1

    Elections 2010 Utangazaji wa matokeo wa NEC unalenga kuwaandaa watanzania kumkubali JK....

    jamani tuna deal na facts, sasa kama mnabishana na facts mtakua mnajidhalilisha, sasa kama hamkubaliani na Kiravu kunyweni sumu mfe
  11. magnet1

    Elections 2010 JF Exclusive: Election 2010 Results (General)

    good job but dont be selective
  12. magnet1

    Elections 2010 Matokeo ya Uchaguzi Tarime

    MAKOYE upeo wako ni mdogo saaaana na kama ulitegemea kila anaeingia ktk JF lazima ampigie SLAA umepitwa na wakati, mwache huyo TECHNOLOGY atoe mawazo yake
Back
Top Bottom