Aden Rage Ashinda ubunge TABORA


M

magnet1

Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
17
Likes
0
Points
0
M

magnet1

Member
Joined Nov 1, 2010
17 0 0
Aden Rage ashinda ubunge tabora kwa ticket ya CCM na CCM imecshinda kata 24 kati ya 25 chadema wamshinda kata ya misha
 
Pape

Pape

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2008
Messages
5,513
Likes
31
Points
0
Pape

Pape

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2008
5,513 31 0
huyu mhabeshi bado yupo hawajamuwekea fitina tu?
 
senator

senator

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2007
Messages
1,927
Likes
4
Points
133
senator

senator

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2007
1,927 4 133
Simba oyeeee
 
TIMING

TIMING

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Messages
21,829
Likes
155
Points
160
TIMING

TIMING

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2008
21,829 155 160
Hongera zake.. ila angeshindwa na yeye angetaka amoboe maboski wahesabu upya

kweli chechemee balah
 
K

KICHAPO

Member
Joined
Oct 19, 2010
Messages
51
Likes
0
Points
0
K

KICHAPO

Member
Joined Oct 19, 2010
51 0 0
Hongera,kasaidie sekta ya michezo maana imekufa ila usituletee Usimba na Uyanga kama jirani yako Kapuya na mwenzie Muzihir enzi zao.Tunataka hoja zenye akili bungeni si mizaha!!
 
Njowepo

Njowepo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Messages
9,402
Likes
488
Points
180
Njowepo

Njowepo

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2008
9,402 488 180
Ivi si itabidi aache Simba kama mwenye kiti?
 
SHERRIF ARPAIO

SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2010
Messages
8,482
Likes
2,802
Points
280
SHERRIF ARPAIO

SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2010
8,482 2,802 280
Aden Rage ashinda ubunge tabora kwa ticket ya CCM na CCM imecshinda kata 24 kati ya 25 chadema wamshinda kata ya misha
Mnaleta wafungwa sasa?
Heshima ya bunge iko wapi hadi watu felonies kama huyu nae ni mbunge?
 
Mrembo

Mrembo

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2008
Messages
395
Likes
26
Points
45
Mrembo

Mrembo

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2008
395 26 45
Mnaleta wafungwa sasa?
Heshima ya bunge iko wapi hadi watu felonies kama huyu nae ni mbunge?
inasikitisha sana. kama hawa ndio type ya viongozi tunaopeleka bungeni, tunategemea nini? heshima iko wapi? this is so bad!! really
 
C

Chesty

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2009
Messages
3,799
Likes
1,121
Points
280
C

Chesty

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2009
3,799 1,121 280
hivi mfungwa huwa anapoteza haki ya kuchagua au kuchaguliwa?????
Na nasikia alifungwa kwa wizi huyu, correct me if i am wrong. Hizo ndio type za CCM.
 
Yo Yo

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Messages
11,246
Likes
100
Points
0
Age
37
Yo Yo

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined May 31, 2008
11,246 100 0
Aden Rage, kama ni kweli anaingia bungeni kubwabwaja tu, better he goes off........
 

Forum statistics

Threads 1,252,211
Members 482,048
Posts 29,800,630